Ligi ya NBA inaendelea kutoa burudani viwanjani. Golden State Warriors waonesha umwamba dhidi ya Detroit Pistons.
Warriors wameondoka uwanjani kwa ushindi wa pointi 102-86 dhidi ya Pistons usiku wa kuamkia leo. Klay Thomson, amerejea uwanjani baada ya kuwa nje kwa miezi 31 kutokana na majeruhi.
Kurejea kwa Thomson kumekuja kwa kiwango cha namna yake. Mchezaji huyo alifanikiwa kupachika pointi 21 kati ya 102 za ushindi.
Kwingineko kwenye NBA, Minnesota Timberwolves wameshinda kwa pointi 112-110. Alec Burks alikosa mpira wa three-pointer ambao pengine ungewapa ushindi Knicks ikiwa imesalia sekunde 1 mchezo kumalizika.
Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.
CHEZA HAPA