NBA

HABARI ZAIDI

NBA Game 6 Kuamua Bingwa au Tunakwenda Game 7?

0
NBA mambo yanaeleweka huku mambo hayaeleweki ubingwa kwenda kushangilia jijini San Fransisco au Boston? kesho inawezakuwa ijumaa ya maamuzi kumaliza game 6 au Game...

Warriors Wanaukaribia Ubingwa NBA 2022

0
Fainali ya NBA inazidi kunoga wakati huu ambao michezo 5 kati ya 7 imeshamalizika. Golden State Warriors wanaukaribia ubingwa msimu huu. Ushindi wa pointi 104-94,...

James Mchezaji wa Kwanza wa Kikapu Kuwa Bilionea

0
Staa wa NBA LeBron James mchezaji wa kwanza wa mpira wa kikapu ambaye bado anacheza kuwa bilionea hii ni kwa mujibu wa jarida maarufu...

Celtics Watinga Fainali NBA

0
Baada ya miaka 12, Boston Celtics wamefanikiwa kutinga fainali ya NBA baada ya kuwamwaga Miami Heats. Licha ya kupoteza michezo 2 ya mwanzo, Celtics walirejea...

Jimmy Butler Apindua Meza NBA.

0
Ngoma ngumu kunako fainali ya Eastern Conference kwenye NBA. Jimmy Butler akataa utumwa mbele ya Boston Celtics. Celtics waliingia uwanjani wakiwa wanaongoza kwa matokeo ya...

Warriors Bingwa Western Conference

0
Fainali ya NBA 2022 inanukia, timu ya kwanza imeshajulikana. Ni Golden State Warriors, mabingwa wa Western Conference 2022. Warriors wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa fainali ya...

Warriors Wapindua Meza California

0
Fainali ya Western Conference kunako NBA inaendelea kunoga kati ya Golden State Warriors na Dallas Mavericks. Vijana wa Kerr wanajambo lao msimu huu. Baada ya...

Bucks Wavuliwa Ubingwa wa NBA.

0
Kama ambavyo LA Lakers walivyoshindwa kutetea ubingwa wa NBA msimu ulioisha, Milwaukee Bucks wamevuliwa rasmi ubingwa msimu huu. Bucks walitwaa ubingwa wa NBA msimu ulioipita...

Heats Watinga Nusu Fainali NBA 2022

0
Burudani ya mchezo wa kikapu inaendelea kunoga viwanjani, Miami Heats imejihakikishia kucheza nusu fainali kunako Eastern Conference. Licha ya kuwakosa nyota wao ambao ni majeruhi...

Lakers Yamtimua Frank Vogel

0
Pengine hili lilitegemewa kama ilivyo kwenye soka, LA Lakers imemuachisha kazi aliyekua kocha wao, Frank Vogel. Vogel anaondolewa kwenye nafasi hiyo ambayo ameitumikia toka mwaka...