Nyumbani NBA Eastern Conference

Eastern Conference

NBA: Warriors Yatupwa Nje kwa Mara ya 2.

2
Mambo si mambo kunako timu ya Golden State Warriors, kwa misimu miwili mfululizo, wanashindwa kufuzu hatua ya Play-Offs kunako NBA. Warriors ambao wameendelea kuwa na msimu mbaya msimu huu, walijikuta wakiangukia pua kwenye michezo ya Regular Season na hivyo kucheza...

LeBron James Aivusha LA Lakers Kunako NBA Play-Offs

0
Michezo ya Regular Season kunako NBA imekamilika na sasa macho yote ni kwenye Play-Offs, LeBron James aokoa jahazi la Lakers akitoka kwenye majeruhi. LA Lakers walikuwa uwanjani kuchuana na Golden State Warriors katika mchezo wa Play-in tournament. Huu ni mchezo...
NBA

NBA: Miami Heats Yafuzu Play-Offs.

1
Hatua yenye burudani kunako Ligi ya NBA huwa ni michezo ya mtoano (play-Offs). Huku ni timu 2 kuchuana mara 7, hakuna kubahatisha! Miami Heats wamefuzu hatua hiyo. Katika muendelezo wa Eastern na Western Conferences, Heats wamefuzu hatua ya mtoano baada...

NBA: Phoenix Suns Waiona Nuru Baada ya Miaka 11.

2
Hakika muda ni suala la kulizingatia katika kuyafikia mafanikio, hakuna kukata tamaa. Phoenix Suns wameondoa ukame uliodumu kwa miaka 11 kunako NBA. Suns wamefanikiwa kufuzu hatua ya Play-Offs (mtoano) baada ya kuibuka kidedea kwenye mchezo dhidi ya LA Clippers. Mara...
NBA

NBA: Nets Wafuzu Play-Offs 2020/21.

3
Mambo yameanza kunoga kuelekea michezo ya Play-Offs kunako ligi ya NBA. Mchezo dhidi ya Toronto Raptors, umewafanya Nets kufuzu hatua ya mtoano mapema zaidi. Brooklyn Nets walikuwa uwanjani wakichuana na Raptors pale Amalie Arena. Ushindi wa pointi 116-103, unawapa Nets...

NBA: Curry Aweka Rekodi Ndani ya Mwezi.

5
Kunako muendelezo wa michezo ya NBA, nyota wa Golden State Warriors, Stephen Curry, ameendelea kuteka vichwa vya habari kwa uhodari wake uwanjani msimu huu. Curry ameendelea kuwa mkombozi wa Warriors msimu huu licha ya timu hiyo kusuasua. Kwa Curry msimu...
curry

Alama 47 Za Steph Curry Zashindwa Kuikoa Warriors!

4
Katika NBA hapo jana, Steph Curry alishindwa kuiokoa timu yake kuepuka kichapo cha 119 - 114 baada ya vita kali yake na Jason Tatim. Hayo yalitokea katika mechi ya kukata na shoka kati ya Boston Celtics na Golden State...
Lakers wawafunga nets

LA Lakers Yaichapa Brooklyn Nets 126-101

5
Timu ya Los Angels Lakers imefanikiwa kuifunga Brooklyn Nets ya Durant alama 126 kwa 101. Katika mechi ya jana, Lakers walionekana kutawala mchezo huo kiwango kikubwa. Viajan wa Los Angels walionesha mchezo mzuri licha ya kukutana na wachezaji nyota wakubwa...
NBA

NBA: Stephen Curry Awachoma The Bucks.

3
Ni mwendo wa vipigo na vicheko kunako Ligi ya NBA nchini Marekani. Rekodi zinawekwa na kuvunjwa kila iitwapo leo. 2020/21 hakika mambo ni moto! Licha ya Golden State Warriors kutokuwa na msimu mzuri, Stephen Curry ameendelea kuwa bora na kuonesha...
kevin durant

Durant Apigwa Faini Ya Dola 50,000 Kwa Lugha Chafu

Nyota wa mpira wa kikapu wa timu ya Brooklyn Nets, Kevin Durant amepigwa faini ya kulipa faini ya dola 50,000 kwa kosa la kutumia lugha ya matusi kwa mwigizaji Michael Rapaport katika mazungumzo binafsi ya mtandaoni. Siku ya jumatano kuliibuka...

MOST COMMENTED

Virgil Van Dijk Aanza Mazoezi Mepesi

24
Taarifa njema kwa mashabiki wa Liverpool ni kwamba beki kitasa wa timu hiyo Virgil Van Dijk anatajwa kuanza kufanya mazoezi mepesi yatakayomsaidia kurejea kwenye...

Tetesi za Usajili

HOT NEWS