Makala nyingine

Timu mbalimbali zinaendelea kujiweka sawa na msimu mpya wa NBA. Vipi kwa Kevin Durant wa Brooklyn Nets, anamfikiria swahiba wake James Harden? James Harden ambaye anakipiga katika timu ya Huston …

Msimu mpya wa NBA kuanza kutimua vumbi mwezi huu. Michezo ya kujiandaa na msimu mpya itaanza wikiendi hii. LA Lakers kuwakosa LeBron James na Anthony Davis kwenye mchezo wa leo. …

Ni habari njema kwa wapenzi wa mpira wa kikapu na timu ya LA Lakers. Shujaa wa Lakers – LeBron James, yupo mbioni kuongeza mkataba wa miaka miwili. Taarifa za kuongeza …

Hatimaye wapenzi wa mpira wa kikapu shauku ya kusubiri tarehe ya msimu mpya wa NBA 2020/21 imewekwa wazi kwa sasa. Baada ya msimu wa 2019/20 kuchelewa kumalizika kutokana na mlipuko …

Kunako anga la mpira wa kikapu, LA Lakers wametwaa ubingwa wa NBA 2019/20. Ushindi katika mchezo wa 6 umewatosha Lakers kubeba ubingwa baada ya miaka 10. Ama kweli kukata tamaa …

Fainali ya NBA bado hali ni tete, mchezo wa 5 umemalizika kwa ushindi wa Miami Heats dhidi ya LA Lakers. Meza ya matokeo imepinduka kwa mara nyingine, Heats wamepindua matokeo …

Fainali ya WNBA imemalizika na Seattle Storms wameibuka mabingwa kwa mara ya 4 kwenye mashindano haya ya kikapu kwa wanawake. Seattle Storms walikuwa wakichuana na Las Vegas Ace katika mchezo …

Kunako NBA, mchezo wa 4 kati ya 7 wa fainali 2019/20 umemalizika kwa LA Lakers kuwaburuza Miami Heats. Wakati matokeo yakiwa 2-1 kabla ya mchezo huu, Heats walianza kuonesha matumaini …

Fainali ya NBA imeendelea tena usiku wa kuamkia leo. Miami Heats wakipindua meza ya matokeo katika mchezo wa 3 dhidi ya LA Lakers. Baada ya kuongoza kwa michezo miwili ya …

Fainali ya NBA inaendelea kupamba moto. LA Lakers dhidi ya Miami Heats ni mpambano wa nguvu, patashika nguo kuchanika. Mchezo wa pili kati ya 7 umemalizika usiku wa kuamkia leo …

Aliyekuwa kocha wa timu ya LA Clippers inayocheza ligi ya NBA – Doc River, ameachia nafasi yake ya ukocha baada ya kuinoa timu hiyo kwa miaka 7. LA Clippers walitolewa …

Kunako msimu wa NBA, michezo ya Eastern na Western Conference imemalizika na sasa washindi – LA Lakers na Miami Heats kuanza kuchuana ili kumpata mbabe wa NBA 2020. Katika mchezo …

Kunako michezo ya NBA – Eastern Conference, Boston Celtics wameibuka kidedea dhidi ya mpinzani wao Miami Heat kwenye mchezo wa 5. Fainali ya Eastern Conference inaendelea kupamba moto ikiwa tayari …

Katika muendelezo wa fainali ya NBA – Western Conference. LA Lakers wameendeleza ubabe dhidi ya Denver Nuggets. Mchezo wa 4 umemalizika kwa LA Lakers kushinda pointi 114-108 dhidi ya wapindua …

Michezo ya fainali za NBA Conference inaendelea kutimua vumbi. Kunako Eastern Conference, mchezo wa 4 umemalizika kwa Miami Heats kuwaburuza Boston Celtics kwa mara nyingine. Mchezo ambao Heats walishinda kwa …

Michezo ya Tokyo Olympics mwaka huu uwenda ikawakosa wachezaji nyota wa NBA endapo msimu mpya wa NBA utaanza Januari. Kutokana na mlipuko wa COVID19, msimu wa NBA ulipangwa kuanza Disemba …

Mchezo wa 3 katika muendelezo wa fainali ya NBA Wesstern Conference umechezwa usiku wa kuamkia leo. Denver Nuggets walivaana na LA Lakers. Kabla ya mchezo wa jana, Lakers walikuwa wanaongoza …

1 2 3 8 9 10 11 12 13
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.