Makala nyingine

LA Lakers wameambulia ushindi wao wa tatu mfululizo katika muendelezo wa NBA. LeBron James, anaongoza mashambulizi. Lakers walikua wakichuana na Sacramento Kings katika mchezo ambao, Lakers walijikuta wakielekea kuupoteza kwa …

Kama alivyo CR7 kwenye ulimwengu wa soka, Steph Curry anafanya maajabu yake kwenye mchezo wa kikapu. Ligi ya NBA inapendeza kwa uwepo wake. Curry amekuwa kwenye kiwango thabiti kwa misimu …

Huu unaweza kuwa msimu wa neema na mafanikio kwa Stephen Curry kama mchezaji. Rekodi anazovunja na kuweka zake ni kubwa! NBA kumenoga. Uhodari wa kucheza na mpira, kurusha mipira mirefu …

NBA 2021/22 inaendelea kupamba moto viwanjani. Rekodi zinawekwa na kuvunjwa kila uchwao. Sasa ni zamu ya Phoenix Suns. Suns walikua uwanjani kuchuana na Golden State Warriors katika mchezo wa 19 …

Mambo yanazidi kunoga kunako NBA 2021/22, mtanange wa Phoenix Suns na Golden State Warriors, umetoa matokeo tofauti na  yaliyotarajiwa. Licha ya kumpoteza Devin Booker baada ya kupata majeruhi, Suns wamefanikiwa …

Wanayopitia Manchester United kwenye soka, kinafanana na wanachopitia LA Lakers kwenye NBA msimu huu. Lakers wamejikuta wakiambulia kipigo cha 5 kati ya michezo 7 waliyocheza hivi karibuni. Hali sio shwari …

Baada ya kufungiwa mchezo mmoja, LeBron James amerejea uwanjani kwenye mchezo dhidi ya Indiana Pacers kunako NBA. James alifungiwa kucheza mchezo mmoja baada ya kuhusika kwenye ugomvi na Isaiah Stewart …

Milwaukee Bucks wamerejea kwenye mstari wa ushindi baada ya kuwazidi uwezo Orlando Magic. Matokeo ya Bucks ni historia yao kwenye NBA. Kwa mara ya kwanza kwa Bucks, wamefanikiwa kupata pointi …

Ligi ya NBA imeendelea leo alfajiri. Timu kadhaa zilikua uwanjani kutafuta pointi muhimu kwenye vilabu vyako. LA Lakers wamefanya yao dhidi ya Detroit Pistons. Licha ya kuzidiwa kwa pointi 17, …

Burudani ya mchezo wa kikapu inaendelea viwanjani. Msimu wa 2021/22 kunako NBA ni visa na mikasa. Vipigo vya kila namna kwa wasiotegemewa kupoteza michezo. Milwaukee Bucks walikuwa uwanjani kuchuana na …

Baada ya vipigo kwenye michezo iliyopita kunako NBA, Utah Jazz na Milwaukee Bucks wamerejea kwenye ushindi. Jazz walikuwa uwanjani kuchuana na Atalanta Hawks alfajiri ya leo. Jazz aliingia uwanjani akiwa …

Kama mambo yataendelea kuwa hivi kwa Golden State Warriors, kuna uwezekano mkubwa Stephen Curry akaondoka na tuzo kubwa ya NBA msimu huu. Warriors wameshacheza michezo 10 mpaka sasa na wanaongoza …

Ligi ya NBA inaendelea kupamba moto viwanjani, baadhi ya wachezaji vinara wa ligi, wameendelea kutoa burudani viwanjani wikiendi hii. Kevin Durant, alijikuta akitolewa nje ya uwanja mwishoni mwa kipindi cha …

Michezo kadhaa ya NBA imeendelea usiku wa kuamkia leo (Jumamosi). LA Lakers na Miami Heats, wamerejea mzigoni. Baada ya kupoteza michezo yao (kabla ya wikiendi hii), hatimaye timu hizi zimeonesha …

Golden State Warriors na Utah Jazz zilikua ndio timu pekee ambazo hazijapoteza michezo yao kwenye NBA toka msimu huu umeanza. Warriors wameuanza msimu huu vizuri ikilinganishwa na msimu uliopita ambapo …

Kwa wadau wa kutengeneza faida kupitia mikeka, sio soka tu, hata NBA imewalaza watu njaa. Vigogo wameambulia vichapo kila mmoja kwa nafasi yake. Licha ya kuongoza kwa pointi 26, LA …

NBA msimu wa 2021/22 unaendelea kusogea, burudani inaendelea kunoga kila uchwao. Utah Jazz, LA Lakers, Warriors ni ushindi tu. Jazz walikua uwanjani kuchuana na Denver Nuggets katika mchezo wa 4 …

Pengine huu ndio msimu ambao tutaona utatu wa Brooklyn Nets ukionesha ubora wao. Kuelekea huko, Kevin Durant (KD) ameanza kuonesha njia. Wakati Nets ikiendelea kumkosa Kyrie Irving kutokana na suala …

1 2 3 4 5 6 7 11 12 13
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.