NyumbaniNBAWestern Conference

Western Conference

HABARI ZAIDI

King LeBron James Kukosa Mchezo wa Fainali

0
Mchezaji nyota wa kikapu na timu ya Los Angeles Lakers King LeBron James atakusokena kwenye mchezo wa fainali ya pili msimu huu kwa sababu...

Stephen Curry Aweka Rekodi Kwenye NBA.

0
Huu unaweza kuwa msimu wa neema na mafanikio kwa Stephen Curry kama mchezaji. Rekodi anazovunja na kuweka zake ni kubwa! NBA kumenoga. Uhodari wa kucheza...

Curry Afunga Pointi 28 76ers Ikishinda 115-103

0
Mlinzi Seth Curry amefunga pointi 23 katika pointi 28 kwenye robo ya kwanza kwenye ushindi wa 115-103 dhidi ya Oklahoma City thunder usiku wa...

LeBron James Aongoza kwa Wanamichezo Wanaotukanwa Twitter

0
LeBron James anaweza kuwa mmoja wa wanamichezo maarufu ulimwenguni, lakini licha ya umaarufu wake, nyota huyo wa LA Lakers ni mmoja wa wanamichezo wanaoshambuliwa...

NBA: Phoenix Suns Bingwa Western Conference.

0
Toka mwaka 1993, Phoenix Suns wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa NBA, Western Conference kwa mara ya kwanza baada ya kuwagaraza LA Clippers. Suns wamefanikiwa kutwaa ubingwa...

NBA: Clippers Wamerejea Mchezoni vs Jazz

0
Baada ya kupoteza michezo miwili kunako nusu fainali ya NBA, Western Conference. LA Clippers wamerejea mchezoni kwenye mchezo wa tatu wakiwa nyumbani. Kabla ya mchezo...

NBA: Warriors Yatupwa Nje kwa Mara ya 2.

2
Mambo si mambo kunako timu ya Golden State Warriors, kwa misimu miwili mfululizo, wanashindwa kufuzu hatua ya Play-Offs kunako NBA. Warriors ambao wameendelea kuwa na...

LeBron James Aivusha LA Lakers Kunako NBA Play-Offs

0
Michezo ya Regular Season kunako NBA imekamilika na sasa macho yote ni kwenye Play-Offs, LeBron James aokoa jahazi la Lakers akitoka kwenye majeruhi. LA Lakers...

NBA: Miami Heats Yafuzu Play-Offs.

1
Hatua yenye burudani kunako Ligi ya NBA huwa ni michezo ya mtoano (play-Offs). Huku ni timu 2 kuchuana mara 7, hakuna kubahatisha! Miami Heats...

NBA: Phoenix Suns Waiona Nuru Baada ya Miaka 11.

2
Hakika muda ni suala la kulizingatia katika kuyafikia mafanikio, hakuna kukata tamaa. Phoenix Suns wameondoa ukame uliodumu kwa miaka 11 kunako NBA.Suns wamefanikiwa kufuzu...