Kunako muendelezo wa NBA, Milwaukee Bucks wamejinasua kwenye msururu wa vipigo vitatu mfululizo kwenye mchezo dhidi ya LA Lakers. The Bucks walikuwa uwanjani kuchuana na Lakers usiku wa kuamkia leo …
Makala nyingine
Hali sio shwari kwa mshambuliaji wa Philadelphia 76ers, Joel Embiid. Hii ni baada ya kupata majeruhi kwenye mchezo wa NBA dhidi ya Washington Wizards. Embiid alirejea uwanjani kwenye mchezo huu …
Nyota wa LA Lakers, LeBron James anaendelea kuweka rekodi za kipekee katika historia ya NBA. James ambaye anashikilia rekodi ya kutwaa taji la NBA mara 4 akiwa na timu tatu …
Hakika NBA msimu huu mambo ni moto! Sio kwenye Eastern wala sio Western Conference, kote mambo ni mazito. Utah Jazz na LA Lakers, vita ya kusaka ubingwa inaendelea kuwa ya …
Muendelezo wa NBA 2020/21 mambo yanaendelea kushika kasi siku baada ya siku. Usiku wa kuamkia leo, LeBron James ameendelea kuwa shujaa wa LA Lakers. Lakers walikuwa uwanjani kuchuana na Oklahoma …
Rekodi zinaendelea kuwekwa na zingine kuvunjwa kwenye muendelezo wa NBA msimu huu. LeBron James, Kevin Durant (KD) na Luka Doncic wembe ni ule ule. LeBron James aliwaongoza vyema LA Lakers …
Baada ya ya miaka 14 na timu hiyo Rockets imethibitisha kwamba Dary Morey ataachia rasmi nafasi ya umeneja mwezi ujao Novemba 1. Ataendelea kuwa msaidizi wa mmiliki wa Rockets Tilman …
Wachezaji wawili wa Miami Heat, Bam Adebayo na Goran Dragic watakaa nje kwa mchezo wa fainali za NBA dhidi ya Los Angeles Lakers siku ya Ijumaa. Mchezaji wa kati wa …
Aliyekuwa kocha wa timu ya LA Clippers inayocheza ligi ya NBA – Doc River, ameachia nafasi yake ya ukocha baada ya kuinoa timu hiyo kwa miaka 7. LA Clippers walitolewa …
Kunako msimu wa NBA, michezo ya Eastern na Western Conference imemalizika na sasa washindi – LA Lakers na Miami Heats kuanza kuchuana ili kumpata mbabe wa NBA 2020. Katika mchezo …
Katika muendelezo wa fainali ya NBA – Western Conference. LA Lakers wameendeleza ubabe dhidi ya Denver Nuggets. Mchezo wa 4 umemalizika kwa LA Lakers kushinda pointi 114-108 dhidi ya wapindua …
Michezo ya fainali za NBA Conference inaendelea kutimua vumbi. Kunako Eastern Conference, mchezo wa 4 umemalizika kwa Miami Heats kuwaburuza Boston Celtics kwa mara nyingine. Mchezo ambao Heats walishinda kwa …
Mchezo wa 3 katika muendelezo wa fainali ya NBA Wesstern Conference umechezwa usiku wa kuamkia leo. Denver Nuggets walivaana na LA Lakers. Kabla ya mchezo wa jana, Lakers walikuwa wanaongoza …

