Mark Cuban mmiliki wa Dallas Mavericks anatumaini wachezaji wa ligi ya kikapu nchini Marekani NBA wataruhusiwa kupiga goti wakati wa kuimba wimbo wa taifa hilo. Uongozi wa NBA, wachezaji, …
Makala nyingine
Maumivu yaliyoje kukosa nafasi ya kutazama pambano la mwisho kati ya Mohammed Alli na Joe Frazier. Lilikuwa Pambano la kusimamisha dunia, pambano la kuzima jua na pambano la kutuliza bahari. …
Marc-Andre ter Stegen golikipa wa Barcelona anaamini Barca itatetea taji la La ligalicha ya kupata alama moja kwenye mchezo wao na Sevilla ambao ulimalizika kwa kwenda sare ya 0-0, Barca …
Winga wa Inter Milan Samu Castillejo ameongelea jinsi alivyo jisikia baada ya kuvamiwa na kuelekezewa Bastola kichwani mwake. “Hakuna anayependa kuwekewa silaha kwenye mwili wake” aliongea nyota huyo wa Milan …
Kevin Durant mcheza kikapu wa marekani, amesema “ mara kwa mara nimekuwa mshabiki mkubwa wa soka na nilihitaji kuingia kabisa kwa maana kuwekeza kwenye huu mchezo mimi na timu …
Lobert Lewandowski amesema kuwa Tuzo hiyo ya mwanasoka bora sio kitu anachokiangalia lakini “chochote kinaweza kutokea” linapokuja swala la kushinda tuzo. Mshambuliaji huyo wa Bayern Munich hajawahi kuwa kwenye tatu …
Kylian Mbappe anaweza kutakiwa kuihama timu yake ya Paris Saint Germain kukidhi haja ya kiushindani hii nikwa mujibu wa nyota wa Real Madrid, Luka Modric. Mbappe mwenye umri …
Fernando Muslera aliumia goti wakati timu yake ya Garatasaray ilipopoteza 2-0 dhidi ya Rizerspor kwenye Supa ligi siku ya juma pili. Golikipa huyo Garatasaray mtaifa wa Uruguai alitolewa …
Vilabu vya ligi kuu nchini Uingereza vimekua vikihusishwa na kuinasa saini ya mchezaji Jardon Sancho anaye cheza katika timu ya Borussia Dortmund, mchezeji huyo anaye sakata kabumbu katika nafasi ya …
Cristiano Ronaldo tangu atue katika timu amekuwa na msaada mkubwa , hii ni kwa mujibu wa mchezaji mwenzake Giorgio Chiellini. Ronaldo tayari amekwisha funga mabao 53 katiaka mechi 76 alizocheza …
Michezo ni miongoni mwa biashara kubwa na nzito sana ambayo wenye uelewa na akili juu ya biashara hiyo na aina ya uwekezaji unaofanywa hapo anaweza kuona kama mambo yanayofanyika ni …
Michezo iliyobakia ya kukamilisha msimu wa kikapu huko Marekani #NBA inawezwa kuchezwa kwenye eneo la mapumziko la Disney Frolida kuanzia tarehe 31 Julai. Msimu wa NBA ulisimamishwa hapo Machi 11 …
Roger Federer ametangazwa kua mcheza tennis ananelipwa zaidi Duniani, na kumzidi mwanasoka nguli mwenye asili ya Argentina na mchezaji wa klabu ya Barcelona Lionel Messi Federer mwenye miaka 38, ametajwa …
Stephen Curry: kwenye ulimwengu wa mpira wa kikapu kuna matukio na watu mbali mbali waliobeba historia ya mchezo huo, uliojizolea umaarufu mkubwa duniani huku ukuonekana kuheshimika zaidi nchini marekani ambako …
Mlinzi wa kati wa timu ya mpira wa kikapu ya Rooklyn Nets inayoshiriki ligi ya mpira wa kikapu nchini Marekani Spencer Dinwiddie anafuatilia Pasi ya kusafiria ya Nigeria ili aweze …
Ni mara chache mno msimu wa ligi kuu ujerumani kuisha bila mchezaji wa Bayern Munich Robert Lewandowski kuweka rekodi kwa timuyake ama kwa nchi kiujumla.na kudhihirishia Umma kua kampeni ya …
Louis van Gaal anaishutumu timu yake ya zamani ya Ajax kutumia virusi vya Korona kujinufaisha wao binafsi. Mkuyrugenzi wa benchi la ufundi la Ajax Marc Overmars ameziita timu zote kubwa …
Klabu ya Bayern Munich inamthibitishia Hansi Flick kama kochaa wake mkuu baada ya makubaliano ya dili la miaka mitatu. Ikumbukwe Flick alipokea mikoba kutoka kwa Niko Kovac kama meneja wa …
Wachezaji wengi hupewa adhabu ya kadi nyekundu chache sana kwenye soka, lakini wapo ambao maisha ya adhabu yamekua ya kawaida kwao. Kadi nyekundu ni chaguo la mwisho kabisa la waamuzi …
Kwa wafuariliaji wa soka la Uingeleza na la Ulaya kiujumla majina ya Martin Tailor na Alan Smith yanaweza yakawa sio mageni kwao, Lakini pia yawezekana ukawa mfuatiliaji na usijue watu …