Makala nyingine

Klabu ya chelsea ya Chelsea imeachana na beki wake mwenye asili ya Brazil anayecheza timu ya taifa ya italia Emerson Palmieri. Beki huyo wa kushoto aliejiunga na Chelsea mwaka 2018 …

Fainali ya NBA inazidi kunoga wakati huu ambao michezo 5 kati ya 7 imeshamalizika. Golden State Warriors wanaukaribia ubingwa msimu huu. Ushindi wa pointi 104-94, unawapa matokeo Warriors matokeo ya …

Baada ya miaka 12, Boston Celtics wamefanikiwa kutinga fainali ya NBA baada ya kuwamwaga Miami Heats. Licha ya kupoteza michezo 2 ya mwanzo, Celtics walirejea mchezoni na kuipambania tiketi ya …

Ngoma ngumu kunako fainali ya Eastern Conference kwenye NBA. Jimmy Butler akataa utumwa mbele ya Boston Celtics. Celtics waliingia uwanjani wakiwa wanaongoza kwa matokeo ya 3-2 baada ya michezo 5 …

Fainali ya NBA 2022 inanukia, timu ya kwanza imeshajulikana. Ni Golden State Warriors, mabingwa wa Western Conference 2022. Warriors wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa fainali ya Western Conference baada ya kuwaburuza …

Fainali ya Western Conference kunako NBA inaendelea kunoga kati ya Golden State Warriors na Dallas Mavericks. Vijana wa Kerr wanajambo lao msimu huu. Baada ya kuwa na msimu mbaya mwaka …

Kama ambavyo LA Lakers walivyoshindwa kutetea ubingwa wa NBA msimu ulioisha, Milwaukee Bucks wamevuliwa rasmi ubingwa msimu huu. Bucks walitwaa ubingwa wa NBA msimu ulioipita na wameendelea kufanya vizuri msimu …

Burudani ya mchezo wa kikapu inaendelea kunoga viwanjani, Miami Heats imejihakikishia kucheza nusu fainali kunako Eastern Conference. Licha ya kuwakosa nyota wao ambao ni majeruhi kwa sasa, Heats wamefanikiwa kutinga …

Pengine hili lilitegemewa kama ilivyo kwenye soka, LA Lakers imemuachisha kazi aliyekua kocha wao, Frank Vogel. Vogel anaondolewa kwenye nafasi hiyo ambayo ameitumikia toka mwaka 2019 ambapo, alifanikiwa kuiongoza LA …

1 2 3 4 5 15 16 17