Ligi ya NBA imeendelea leo alfajiri. Timu kadhaa zilikua uwanjani kutafuta pointi muhimu kwenye vilabu vyako. LA Lakers wamefanya yao dhidi ya Detroit Pistons. Licha ya kuzidiwa kwa pointi 17, …
Makala nyingine
Burudani ya mchezo wa kikapu inaendelea viwanjani. Msimu wa 2021/22 kunako NBA ni visa na mikasa. Vipigo vya kila namna kwa wasiotegemewa kupoteza michezo. Milwaukee Bucks walikuwa uwanjani kuchuana na …
Stephen Curry, amekuwa kiongozi wa wakati wote wa pointi tatu usiku wa kumakia leo baada ya kuonyesha kiwango chaajabu kwenye ushindi wa Warriors wa 119-93 dhidi ya Chicago Bulls. Destiny …
Baada ya vipigo kwenye michezo iliyopita kunako NBA, Utah Jazz na Milwaukee Bucks wamerejea kwenye ushindi. Jazz walikuwa uwanjani kuchuana na Atalanta Hawks alfajiri ya leo. Jazz aliingia uwanjani akiwa …
Kama mambo yataendelea kuwa hivi kwa Golden State Warriors, kuna uwezekano mkubwa Stephen Curry akaondoka na tuzo kubwa ya NBA msimu huu. Warriors wameshacheza michezo 10 mpaka sasa na wanaongoza …
Ligi ya NBA inaendelea kupamba moto viwanjani, baadhi ya wachezaji vinara wa ligi, wameendelea kutoa burudani viwanjani wikiendi hii. Kevin Durant, alijikuta akitolewa nje ya uwanja mwishoni mwa kipindi cha …
Michezo kadhaa ya NBA imeendelea usiku wa kuamkia leo (Jumamosi). LA Lakers na Miami Heats, wamerejea mzigoni. Baada ya kupoteza michezo yao (kabla ya wikiendi hii), hatimaye timu hizi zimeonesha …
Golden State Warriors na Utah Jazz zilikua ndio timu pekee ambazo hazijapoteza michezo yao kwenye NBA toka msimu huu umeanza. Warriors wameuanza msimu huu vizuri ikilinganishwa na msimu uliopita ambapo …
Kwa wadau wa kutengeneza faida kupitia mikeka, sio soka tu, hata NBA imewalaza watu njaa. Vigogo wameambulia vichapo kila mmoja kwa nafasi yake. Licha ya kuongoza kwa pointi 26, LA …
NBA msimu wa 2021/22 unaendelea kusogea, burudani inaendelea kunoga kila uchwao. Utah Jazz, LA Lakers, Warriors ni ushindi tu. Jazz walikua uwanjani kuchuana na Denver Nuggets katika mchezo wa 4 …
Pengine huu ndio msimu ambao tutaona utatu wa Brooklyn Nets ukionesha ubora wao. Kuelekea huko, Kevin Durant (KD) ameanza kuonesha njia. Wakati Nets ikiendelea kumkosa Kyrie Irving kutokana na suala …
Mlinzi Seth Curry amefunga pointi 23 katika pointi 28 kwenye robo ya kwanza kwenye ushindi wa 115-103 dhidi ya Oklahoma City thunder usiku wa jumapili. Curry alifanikiwa kupata 6 ya …
Mzunguko wa pili kunako NBA umeendelea usiku wa kuamkia leo. Brooklyn Nets wamerudi mchezoni wakati LA Lakers wakiendelea kupoteza michezo yao. Nets walikuwa uwanjani kuchuana na Philadelphia 76ers. Baada ya …
Ni wiki ya 2 kunako Ligi ya NBA nchini Marekani na timu mbalimbali zimeendelea kuonesha uwezo viwanjani. Hakika, Golden State Warriors gari limewaka! Baada ya kuwacharaza LA Lakers kwenye mchezo …
Msimu mpya wa Ligi ya Kikapu nchini Marekani, NBA imeanza rasmi! Baadhi ya mastaa wa NBA wameonesha ubora wao kwenye michezo miwili ya ufunguzi. Milwaukee Bucks walikuwa uwanjani kuanza safari …
Joto linaongezeka miongoni mwa wadau, mashabiki na wachezaji wa ligi ya NBA kuelekea msimu mpya, 2021/22. Jumanne hii, mambo ni moto! Ligi ya NBA inatimiza miaka 75 tangu kuanzishwa kwake. …
Hakika kizuri kinajiuza! Kwa wafatiliaji wa ligi ya NBA, hakika jina Mikal Bridges sio geni masikioni mwenu. Ukiizungumzia Phoenix Suns, ni sawa na kumtaja Mikal Bridges. Mchezaji aliyejaliwa uwezo wa …
Msimu wa 2020/21 kunako NBA, uligubikwa na matokeo ya kila namna. Walikuepo walioshuka viwango, underdogs, chipukizi na wapindua meza. Kulinoga! Sio Lakers wala Warriors walioweza kufua dafu mbele ya Milwaukee …
Timu ya Los Angeles Lakers wanapitia kipindi kigumu kwa sasa na wameenda bila ushindi wowote katika mchezo wa pre-season wa kirafiki dhidi Sacramento Kings kwa alama 116 – 112. Kwa …
Kuelekea msimu mpya wa NBA 2021/22, Brooklyn Nets huenda ikamkosa nyota wake, Kyrie Irving kwa muda usiojulikana. Hii ni baada ya Irving kuwa miongoni mwa wachezaji ambao hawajapata chanjo ya …