Huu unaweza kuwa msimu wa neema na mafanikio kwa Stephen Curry kama mchezaji. Rekodi anazovunja na kuweka zake ni kubwa! NBA kumenoga.
Uhodari wa kucheza na mpira, kurusha mipira mirefu na kutoa pasi zenye macho, ni miongoni mwa sifa za Stephen Curry. Mchezo dhidi ya New York Knicks, umekuwa ni burudani ya aina yake.

Curry amefanikiwa kupachika jumla ya mipira 2,977 ya 3-pointer akiwa amecheza michezo 789 tu ya NBA. Hii ni rekodi ambayo awali ilikuwa inashikiliwa na Ray Allen (2,973) baada ya michezo 1,300.
Hakika, Curry anakila sababu ya kujivunia uwezo wake ndani ya NBA na Golden State Warriors, wamebahatika kuwa na mchezaji kama Curry.
Fanya wiki yako iwe ya ushindi mkubwa ndani ya kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo wa BURST THE BANK🔥🤑 ni moja kati ya mchezo pendwa unaowapa wachezaji mamilioni kila siku. Kwa dau dogo unashinda zaidi.