Fainali ya NBA 2022 inanukia, timu ya kwanza imeshajulikana. Ni Golden State Warriors, mabingwa wa Western Conference 2022.

Warriors wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa fainali ya Western Conference baada ya kuwaburuza Dallas Mavericks. Matokeo ya pointi  120-110 yanaufanya mchezo huu kumalizika kwenye mchezo wa 5 kwa ushindi wa jumla wa 4-1.

Warriors, Warriors Bingwa Western Conference, Meridianbet

Hii ni mara ya 6 kwa Warriors kuibuka kidedea kwenye fainali za NBA, Western Conference ndani ya kipindi cha miaka 8. Hii ni historia ambayo ilikua inashikiliwa na Chicago Bulls ambao walifanya hivyo miaka ya 1990.

Kwa ushindi huu, Golden sasa wanamsubiri bingwa wa Eastern Conference ambapo, Boston Celtics wanapambana kufa kupona dhidi ya Miami Heats. Fainali ya NBA ipo karibu!!!


SHINDA SAMSUNG A32 NA AVIATOR

SHINDA Samsung A32 ukiwa na mchezo wa Aviator kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet! Kwea pipa ukusanye zawadi zako pamoja na ushindi mnono wa mkwanja!

 

kasa wa njano, Kasa wa Njano Awapa Ubingwa wa CL Liverpool., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa