WNBA

kevin durant

Durant Apigwa Faini Ya Dola 50,000 Kwa Lugha Chafu

4
Nyota wa mpira wa kikapu wa timu ya Brooklyn Nets, Kevin Durant amepigwa faini ya kulipa faini ya dola 50,000 kwa kosa la kutumia lugha ya matusi kwa mwigizaji Michael Rapaport katika mazungumzo binafsi ya mtandaoni. Siku ya jumatano kuliibuka...

Dulla Mbabe Out, Hussein Itaba In

11
BONDIA maarufu Bongo, Abdallah Pazi 'Dulla Mbabe' ameondolewa kuzipiga na bondia kutoka DR Congo Alex Kabangu na nafasi yake imechukuliwa na Hussein Itaba. Pambano hilo limepangwa kufanyika Novemba 13  ukumbi wa Next Door Arena, Oysterbay na siku hiyo pia bondia...

Mike Tyson na Ubaya Ulipozidi Wema

28
October 2 1980, Muhammad Alli anachakazwa vibaya sana na Larry Holmes. Kabla ya pambano madaktari walimkataza Alli kupanda ulingoni kutokana na hali mbaya ya afya yake. Ila walisahau huyu ni Muhammad Alli, binadamu asiyeamini katika kushindwa na kupoteza. Alilazimisha...
WNBA

WNBA: Seattle Storms Mabingwa 2019/2020

30
Fainali ya WNBA imemalizika na Seattle Storms wameibuka mabingwa kwa mara ya 4 kwenye mashindano haya ya kikapu kwa wanawake. Seattle Storms walikuwa wakichuana na Las Vegas Ace katika mchezo ambao Ace walianza kwa kuongoza kabla ya Breanna Stewart kupindua...
Michezo

Michezo Yasimama Marekani Kutokana na Ubaguzi wa Rangi

41
Tasnia ya michezo nchini marekani imekumbwa na sintofahamu bada ya baadhi ya michezo kusimamishwa kugomea ukiukwaji wa haki za kibinadamu zinazofanywa na Polisi nchini humo, wanamichezo kutoka michezo mbali mbali kama mpira wa kikapu, Tennis, Rugby na Gofu wameahirisha...
moore

Moore Shujaa wa WNBA Sakata la Irons

22
Baada ya kuruhusiwa kutoka gerezani, mwanadada Maya Moore alijikuta akipiga magoti kwa furaha. Baada ya kupambana bila kuchoka, hatimaye Moore amemwona na kumshukuru Irons baada ya miaka 23. Amenukuliwa akisema , " Sawa, yametimia" Ifahamu safari ya Moore na Jonathan Irons. Mapema...

Kobe Bryant na Ukitaka Dunia Isikusahau, Fanya Makubwa, Halafu Ufe Mapema (PART TWO)

37
Kama ilivo kwa malegendari wote katika michezo yao, Kobe ameacha rekodi zilizotukuka katika uwanja wa kikapu. Sitazijadili leo. Inatosha tu kutambua kwamba amefanya mengi makubwa. Nataka nigusie maisha yake kidogo. Ameacha utajiri wa dola 500 milioni. Kobe alitumia ujana wake...

Kobe Bryant na Ukitaka Dunia Isikusahau, Fanya Makubwa, Halafu Ufe Mapema (PART ONE)

41
Kalamu yangu hii inapewa nguvu na Emiliy Dickinson. Mshairi mahiri sana nchini Marekani. Emily alisema, "ukitaka dunia isikusahau, fanya makubwa, halafu ufe mapema." Sijui alifikiria nini kusema vile, lakini maneno yake yanaweza kuwa na uhalisia. Ndiyo, yanaweza kuwa na uhalisia....

Ujue Mpira wa Kikapu na Historia.

42
Mpira wa kikapu ni aina ya michezo inayopendwa katika sehemu nyingi za dunia na watu wengi hutamani mchezo huu. Mara nyingi hufanywa ukumbini wakati timu mbili za wachezaji wanajaribu kuingiza mpira katika kikapu cha timu nyingine. Vikapu viko mwishoni mwa upande...

Muhammad Alli na Joe Frazier mwaka 1975 Lazima Bingwa Apatikane

31
Maumivu yaliyoje kukosa nafasi ya kutazama pambano la mwisho kati ya Mohammed Alli na Joe Frazier. Lilikuwa Pambano la kusimamisha dunia, pambano la kuzima jua na pambano la kutuliza bahari. Muhammad Alli na Joe Frazier walikuwa wanakutana kwa mara ya...

MOST COMMENTED

Alexis Sanchez Alitaka Kuondoka United

33
Aliyekuwa nyota wa Man United, Alexis Sanchez alitaka kuondoka Manchester United mapema kabisa, baada ya mkataba wake na Manchester City kushindwa kufanya kazi. Januari 2018,...
DTnlxQkWsAItNvs.jpg large

Emre Can Kusalia Anfield?

HOT NEWS