Mabingwa wa Bundesliga wameungana na ndugu zao Borussia Dortmund na RB Leipzig katika kutangaza kutounga mkono mashindano mapya ya Ulaya.

Siku ya Jumapili timu 12 kutoka England, Spain na Italia zilithibitisha kwamba zinajiandaa kujiunga  na mashindano ya European Super League ambayo yameundwa kwaajili ya kuleta upinzani kwa Champions League.

Bayern Munich Haina Mpango na Super League

Katika taarifa CEO wa Bayern Karl-Heinz Rummenigge alithibitisha kwamba klabu yake haitashiriki na badala yake watakuwa na mtizamo wa kurekebisha Champions League.

“FC Bayern haitashiriki katika mpango wa Super League ,” Rummenigge alisema. “Tuna hakika kwamba muundo wa sasa katika mpira wa miguu unahakikisha msingi wa kuaminika.

“FC Bayern inakaribisha muundo mpya katika Ligi ya Mabingwa kwa sababu tunaamini kuwa ni hatua sahihi kwa maendeleo ya soka la Ulaya. Duru ya awali iliyobadilishwa itachangia msisimko zaidi na hisia katika mashindano hayo.

Wakati vilabu vinapotangaza mipango yao ya Super League, UEFA pia ilithibitisha Jumatatu kwamba kutakuwa na Ligi ya Mabingwa iliyorekebishwa kuanzia 2024.

Muundo mpya utaona timu 36 zinashiriki katika muundo wa ligi moja kuchukua nafasi ya hatua ya makundi. Kila timu itacheza jumla ya michezo 10 nyumbani na ugenini, na nane bora zinafuzu moja kwa moja kwa 16 bora na zile zinazomaliza kati ya tisa na 24 kushindana katika hatua mbili za kucheza ili kuamua nani mwingine anayeingia hatua ya mtoano.


MKWANJA MARIDHAWA NA KASINO YA 777 MEGA DELUXE

Nafasi nyingine kwaajili yako, kasino mpya yenye hadhi ya kipekee inayokupa kila sababu ya kuwa mshindi katika kasino za Meridianbet, anza siku yako na njia rahisi ya kutengeneza mkwanja.

Bayern, Bayern Munich Haina Mpango na Super League, Meridianbet

CHEZA HAPA

10 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa