Klabu ya Bayern Munich imedhibitisha kuachana na beki wao kitasa Jerome Boateng mara msimu wa 2020/2021 utakapomalizika katika majira ya kiangazi.

Mkurugenzi wa michezo wa Bayern, Hasan Salihamidzic amethibitisha hilo katika mkutano na Sky in Germany kabla ya mchezo wa robo fainali ya kwanza ya ligi ya mabingwa dhidi ya PSG.

 

bayern, Bayern Wadhibitisha Boateng Kuondoka Msimu Huu., Meridianbet

“Mkataba wa Jerome utakamilika majira ya kiangazi. Hauta ongezwa.

“Hayo ndio makubaliano baina ya uongozi wa klabu, na kocha pia alihusika. Nliongea hili na Jerome na alikuwa muelewa. Anaondoka katika mlango mkubwa – matumaini yangu na mataji.” aliongeza Salihamidzic.

Boateng amecheza mechi 31 katika kikosi cha Bayern msimu huu akifunga magoli mawili kwa vinara hao wa Bundesliga.


INAWEZEKANA KUWA MILIONEA BILA KUVUJA JASHO NA KASINO YA ODD ONE OUT.

Odd One Out kutoka Meridianbet ni moja ya kasino maridhawa yenye picha halisi, ambayo inakupa nafasi ya kushinda kadri uwezavyo na kuwa milionea mara baada ya mzunguko kukamilika.

bayern, Bayern Wadhibitisha Boateng Kuondoka Msimu Huu., Meridianbet

CHEZA HAPA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa