Muunganiko wa Karim Benzema na Vinicius Junior katika mchezo wa Jumapili wa Real Madrid dhidi ya Valencia ulikuwa wa kuvutia Los Blancos wakitoka nyuma katika ushidni wa 2-1 mchezo wa LaLiga.

Benzema na Vinicius Wamekuwa wa Moto

Uwili huo umeonekana kutozuiwa tangu kuanza kwa msimu huu kila kitu wanacho kifanya kinaonekana kuwa cha dhahabu kwa wakati huu Valencia walionekana kutawala mchezo lakini mwishoni Vinicius alisawazisha na baadaye Benzema kufunga bao la ushindi.

Siyo mara ya kwanza kwa Benzema na Vinicius kuikoa Madrid kutoka kufungwa mpaka kuongoza na kuendeleza rekodi yao ya kutofungwa wakiwa wameshinda mechi tano na asisti.

Vinicius amehusika katika mabao 10 kati ya 16 ya Real Madrid katika LaLiga na Ligi ya Mabingwa, wakati Benzema amefikisha goli namba sita na kusaidia mengine manne.


FUNGA BAHATI YAKO NA MERIDIANBET.

Ni wakati wa ushindi mkubwa ukiwa na kasino bomba ya Lock a Luck, meridianbet wanakupa sababu ya ushindi, funga bahati yako ya ushindi ukiwa na mabingwa.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa