Baada ya Ligi Kuu Nchini Ujerumani, Bundesliga kutamatika na FC Bayern Munich kutwaa Ubingwa wa 9 mfululizo, Wachezaji watatu na Meneja wao Hans Flick walipata Fursa ya kuwaaga mashabiki kadhaa walihudhuria kiwanjani hapo Kwa mara ya kwanza tangu mwaka jana.

bayern
Boateng

JEROME BOATENG MIAKA 32.
Akiwa na miaka 32 Mlinzi Jerome Leo alionekana akimwaga machozi akiwaaga mashabiki wa Munich. Jerome alijiunga na Munich akitokea Man City mwaka 2011.
-Misimu 10
-Makombe aliyoshinda 22
-Ikiwemo Bundesliga 9,
-DFB-Pokal mara 5
-DFL -super cup mara 2
-UEFA Champions League mara 2
-UEFA super cup mara 2
-FIFA Clubs World Cup mara 2

bayern, Boateng, Alaba Waaga Bayern Munich, Meridianbet
Alaba

DAVID ALABA UMRI MIAKA 28
Alijiunga na FC Bayern Munich mwaka 2009 akitoka Austria Wien II ya Nchini Australia.
-Misimu 12
-Makombe 27
-Bundesliga Mara 10
–DFB-pokal mara 5
-DFL-super cup mara 6
-UEFA champions League 2
-UEFA super cup mara 2
-FIFA Clubs World Cup mara 2

bayern, Boateng, Alaba Waaga Bayern Munich, Meridianbet
Martinez

JAVI MARTINEZ UMRI MIAKA 32
Alijiunga na FC Bayern Munich mwaka 2012 akitoka Athletic Club Bilbao ya Spain.
-Misimu 9
-Makombe 24
-Bundesliga Mara 9
–DFB-pokal mara 5
-DFL-super cup mara 4
-UEFA champions League mara 2
-UEFA super cup mara 2
-FIFA Clubs World Cup mara 2

bayern, Boateng, Alaba Waaga Bayern Munich, Meridianbet
Flick

Nje ya wachezaji hao pia Mashabiki wa Munich wamepata fursa ya kumuaga aliyekuwa Kocha wao Hans Flick ambaye naye amekamilisha Zama zake ndani ya Klabu hiyo.
-Misimu 2
-Makombe 7
-Bundesliga Mara 2
–DFB-pokal mara 1
-DFL-super cup mara 1
-UEFA champions League mara 1
-UEFA super League mara 1
-FIFA Clubs World Cup mara 1


UNAWEZA KUWA MILIONEA WAKATI WOWOTE!

Zungusha na ushinde mkwanja wako papo hapo baada ya mzunguko kukamilika. Ni kugusa tu 🤑.

kane, Kane Aweka Wazi Maazimio Yake Kucheza UEFA., MeridianbetBASHIRI SASA

3 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa