Kell Brook alikuwa kwenye ubora thabiti siku ya Jumamosi usiku kwa kumpiga adui yake Amir Khan kwa KO katika raundi ya sita kwenye Uwanja wa Manchester Arena mjini Manchester, Uingereza.

Amir Khan Akalishwa na Kell Brook Raundi ya  6

Kell alionekana kutawala pambano wakati wote mpaka alipomshinda Khan katika raundi ya sita na ulikuwa ushindi wake wa 40 katika kazi yake hiyo wakati akiwa amepoteza mara 3 pekee na alipoteza kwa mabondia wakali Golovkin, Errol Spence Jr. na Terence  Crawford.

Mambo hayakuwa mazuri kwa Khan kuanzia raundi ya pili na ya tatu, na ilikuwa wazi basi kwamba angepigwa knockout.

Alipoulizwa kuhusu mipango yake ya baadaye, Brook aliiambia Sky Sports: “Naweza kuacha lakini Eubank, simpendi Eubank.

“Tunaweza kupigana na Eubank na kuna mapambano makubwa kwa ajili yangu.”

Baada ya kupoteza pambano Amir Khan alikuwa tayari amepoteza mapambano mengine mawili yaliyopita kwa ujumla amepoteza mapambano sita. Khan anafikiria kustaafu mchezo huo.

“Nahitaji kupumzika na familia yangu. Lakini ni zaidi kuelekea mwisho wa kazi yangu.

“Upendo wa mchezo haupo tena na, uringoni, sikuwa na msisimko na msukumo huo. Labda hiyo ni ishara kwamba ninapaswa kuiita siku. Lakini hebu tuone.”


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa