Mwanamasumbi wa uzito wa juu Tyson Fury amemsifu mpizani wake Dillian Whyte kwenye uwanja wa Wembley kwenye mpambano wao wa wikeindi ijayo na amesema yuko tayari kumkabili.

Mpiganaji huyo asiyepigika anatarajia kukabiliana na muingereza mwenzie kwenye mpambano huo, ambapo yeye anasema kuwa ni pambano lake la fainali huku akiwa na rekodi ya kupambana mapambano 31, huku akiwa hajapoteza hata pambano moja na akitoa sare pambano moja tu.

Fury, Fury Niko Tayari Kumkabili White, Meridianbet

“Whyte ni mpiganaji mzuri, ni mtu asiyezuilika  kwa muda mrefu, ni mtu ambaye wapambanaji wengi wanamkimbia. Hakuna anayetaka kupigana na Dillian Whyte kwa sababu yoyote, anapiga ngumi mbaya sana, anapiga ngumi sehemu muhimu, ni mtu mgumu na imara.

Anarekodi nzuri ya kupoteza mapambano mawili. Tiketi zate zimeuzwa saa chache kabla ya pambano, kwaiyo ni mpambano wa kuvutia, na siwezi kusubiri kutoa burudani nzuri.” Alisema Tyson Fury

Mpambano kati ya Tyson Fury na Dillian Whyte unakwenda kuweka rekodi ya uwanja wa wembley ya kupata watazamaji wengi zaidi ambapo haijawi kutokea kwenye uwanja huo.


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa