Joshua Apania KO Raundi ya Kwanza Dhidi ya Joyce

Anthony Joshua alikuwa anajiandaa na pambano la marudiano na Oleksandr Usyk kwa ajili ya mataji ya dunia ya uzito wa juu aliyopoteza Septemba mwaka jana, lakini baada ya kutokea kwa vita kati ya Urusi na Ukraine sasa pambano lao litachelewa na Joshua anajiandaa kuzichapa na bondia wa muda kabla ya pambano lao.

Promota wa bondia huyo Eddie Hearn pia alisema kwamba AJ anataka kupigana na bondia kama vile Deontay Wilder, Luis Ortiz ama Joe Joyce kabla ya kurudiana na Usyk

Sasa Joshua amedai anatamchapa kwa KO katia raundi ya kwanza Joyce kama wakisamama ulingoni.

Ilipendekezwa wakati wa Maswali na Majibu kwenye Twitter kwamba Joyce uzito wa juu kutoka Uingereza angekuwa mpinzani mbadala wa Joshua, ambaye alisema alimkalisha  Joyce katika raundi ya kwanza walipokutana hapo awali.


VUNA MKWANJA NA SHINDANO LA EVOPLAY SPRING AWEKING

Mchongo mpya mjini ni Shindano la Evoplay Spring Aweking katika kasino maridhawa za meridianbettz. Pata mgao wako wa TSh 25,000,000  katika michezo kibao ya kasino na sloti ziliyochaguliwa kushiriki.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

 

Acha ujumbe