Joshua: Hakuna Mkakati Ispokuwa Ushindi Dhidi Usyk

Anthony Joshua amesisitiza kuwa hana mpango wala mkakati wowote  kwenye  pambano lao wanalotarajia kukutana na Usyk zaidi ya ushindi.

Joshua anarudi tena ulingoni dhidi ya world cruiserweight champion Usyk kwenye dimba la Tottenham Hotspur Stadium siku ya jumamosi.

Usyk, ambaye ameshinda mapambano yake yote 18 huku akiwa na KO 13 katika mapambano 18 na anasisitiza hana presha yeyote dhidi ya mpinzani wake  huyo anayeshikilia mikanda ya IBF, WBA and WBO.

Mwanamasumbi wa uzito wa juu kutoka Uingereza Anthony Joshua, amepambana mapambano 25, ameshinda 24 na ana KO 22 akipoteza pambano moja dhidi ya Andy Ruiz Jr mwaka 2019.

Joshua alisema,”nipo katika hali ya kuitaji ushindi, kusudi langu ni kushinda eidha nikuumize au nikupige hadi nishinde.”

Usyk anakumbukumbu nzuri kwenye ardhi ya Uingereza  baada ya kumchapa Derek Chisora jijini London kwa pointi mwaka jana pia alishawai mchapa Tony Bellew.


 

FUNGA BAHATI YAKO NA MERIDIANBET.

Ni wakati wa ushindi mkubwa ukiwa na kasino bomba ya Lock a Luck, meridianbet wanakupa sababu ya ushindi, funga bahati yako ya ushindi ukiwa na mabingwa.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

 

Acha ujumbe