Anthony Joshua na bingwa wa uzito wa  IBF/WBA/WBO Oleksandr Usyk wanatarajia kuwa na pambano la marudioa ambalo linatarajiwa kutangazwa tena wiki ijayo.

Eddie Hearn ambaye kwa sasa bado anatafuta na yupo kwenye majadiliano ya sehemu husika ambayo pambano la marudiano kati ya Joshua vs. Usyk kufanyika, lakini kwa sehemu kubwa pambano hilo linapigiwa chapuo kufanyika nchini Saudi Arabia.

Joshua, Joshua na Usyk Pambano Lao Kutangazwa Wiki Ijayo Tarehe 23, Meridianbet

Anthony Joshua mwenye miaka 32 anaamini kuwa pambano lake la kwanza dhidi ya bingwa asiyepigika Oleksandr Usyk na kwa kushindwa kwa pambano la technical fight.

Anthony Joshua anadhani anaweza kupata ushindi kwa kutumia size yake, nguvu zake na ukorofi wake ili kuweza kumpiga Usyk kwenye pambano la marudio. Joshua anarekodi nzuri ya mapambano ya kujiuliza baada ya kufanya hivyo kwa Andy Ruiz Jr.  Mwezi  December 2019.

“Akili yetu kwa sasa ni kukamilisha pambano hili na mikataba yake inatarajaiwa kufanyika wiki hii. na mtatangaziwa wiki ijayo.” Alisema Hearn wakati akihojiwa na  IFL TV.

“Pia aliongezea, “baada ya kisubiri sana pambano la marudio kati Anthony Joshua na Oleksandr Usyk tunaenda kukata mzizi.

“Ndio, mtatangaziwa wiki ijayo, kisha kuna jambo litachakua ,uda kidogo kesho kwenye maswala ya mikataba.”


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa