Ilimchukua wiki tatu kuingia wavuni kwa mara ya kwanza, Baada ya miaka mitatu ya ‘mvua na jua’ akiwa na Udinese, Bruno alijiunga na Sampdoria August 2016 kwa mkopo.

Bruno Fernandes Ishi Kabla Hujaishia (PART TWO), Bruno Fernandes Ishi Kabla Hujaishia (PART TWO), Meridianbet

Hatimae June 27 2017 baada ya kufanya vizuri katika mashindano ya Euro ya vijana alijiunga na Sporting CP ya nchini kwao kwa mkataba wa miaka mitano. Ndipo ‘mabalaa’ yake yalipoanza kuishtua dunia.

Alifunga mabao manne katika michezo mitano ya kwanza ya ligi kuu ya soka nchini Ureno. Alicheza mchezo wake wa kwanza wa UEFA champions league September 2017, ambapo ilimchukua dakika 43 tu, kuipa timu yake uongozi wa mabao 3 kwa bila wakiwa ugenini dhidi ya Olympiacos. Alifunga mabao 16 katika msimu wake wa kwanza, akimaliza katika nafasi ya pili ya ufungaji bora.

Bruno Fernandes Ishi Kabla Hujaishia (PART TWO), Bruno Fernandes Ishi Kabla Hujaishia (PART TWO), Meridianbet

Alitwaa tuzo ya mchezaji bora kwa mara ya pili mfululizo. Msimu huo alifunga mabao 33 yaliyomfanya kuweka rekodi ya kuwa kiungo aliyefunga mabao mengi zaidi katika historia ya Primeira liga kwa msimu mmoja.

Ndiye huyu aliyekuja Man United January. Dunia inasubiri kuona kama ataweza kufanya zaidi ya yale aliyoyafanya nchini kwao.

Bruno Fernandes Ishi Kabla Hujaishia (PART TWO), Bruno Fernandes Ishi Kabla Hujaishia (PART TWO), Meridianbet


Kwa sababu ya thamani ya pesa yako, kwa kila muamala unaofanya wa kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet unapata 5% bonasi.

Soma Zaidi

44 MAONI

  1. Huu ni wakati wa Bruno Fernandes kutangaza zaidi jina lake na kujiandalia mazingira ya kupiga mkwanja mrefu kweli ulimwengu wa soka

  2. Bruno kwa sasa epl ndio habar ya mjini kote bruno kasi yake skills pasi zake zilizo makini ananiacha hoi jinsi ya upigaji wake penalty na kingine scout ya man United ilifanya kazi mzr sana pia pongez ziende kwa christiano Ronaldo kututhibitishia uwezo wake huyu mwamba

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa