Ninaituliza akili yangu kama control zako uwanjani huku nikilinda kinywa changu kama unavyoilinda mali uwapo pale Benjamini Mkapa, ninahofia nisije kusema neno lolote baya juu yako Bwalya.

Bwalya ninaomba nikuulize swali ambalo nilitamani kumuuliza Chama lakini sikupata nafasi ya kufanya hvyo, Hivi ni chuo gani ulichojifunzia soka? Kuna nyakati nawaza kama na wewe umeanza soka kwa kuunga unga kama akina sie,ama ulizaliwa na kujikuta katika chuo cha mpira.

bwalya, Bwalya Kwani Unazungumza na Mpira?, Meridianbet

Pengine huko mmefundishwa lugha ambayo ukizungumza na mpira utakuelewa, Huenda sisi ndo hatujui tunaona mpira ni bubu kumbe mpira unazungumza, mbona wewe ukiuamuru unakutii? tuibie siri Swahiba kama ni lugha kwa gharama yoyote ile tutajifunza ili tuweze kuzungumza na mpira.

Touch yako ya kwanza tu mguuni ni homa kwa wapinzani , uki drive ndo kabisa haielezeki kiufupi uchezaji wako ni kitabu na darasa tosha kwa wachezaji wengi.

bwalya

Wanakuita ‘Magician Left Footer’ wacha niongezee kwa kukuita Magician King, aina ya viungo kama wewe ni dhahabu sana kwenye soka.

Lakini Bwalya nikuambie tuu, kila mtu na zama zake ninaamini wewe ni kipenzi cha wanasimba ila ninaamini kuna nyakati jina lako na picha zako zitawekwa mitaa ya kariakoo kama ilivyo kwa kina Emmanuel Okwi na Patric Mafisango wakati walivyojijengea utawala wao pale Msimbazi.


KWANI MERIDIANBET WANASEMAJE! MKWANJA UPO KWENYE KASINO MPYA YA MINI POWER ROULETTE.

Unawezaje kukosa ubingwa ndani ya kasino hii maridhawa, Nafasi ya kushinda mkwanja ni kwa kila mtu, Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa mmoja ya washidi leo, unasubiri nini?

Mini Power Roullete

CHEZA HAPA


 

12 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa