Nyota wa Zambia Larry Bwalya ameelezea jinsi alivyoikataa Yanga ambao walidsafiri mpaka nchini kwake kwaajili ya kupata huduma yake lakini aliikataa dili hiyo.

Bwalya: Niliipiga Chini Ofa ya Yanga na Kujiunga na Msimbazi

Kiungo huyo wa Simba Larry Bwalya ameeleza jinsi alivyoipiga chini ofa hiyo na kusaini na mahasimu wao Yanga SC.

Staa huyo aliingia mkataba na Wekundu wa msimbazi kabla ya kuanza kwa kampeni ya 2020-21 katika Ligi kuu Tanzania bara kwa dili ya miaka miwili akitokea klabu Power Dyanamos inayoshiriki ligi kuu ya nchini Zambia.

Mchezaji huyo anaye tumia mguu wa kushoto amelezea jinsi alivyotua katika klabu ya Simba licha wa Yanga kujaribu kumnasa mchezaji huyo na alikusanya taarifa za kutosha kuhusu vilabu hivyo viwili na kuangalia kile kilichopigiwa kura zaidi.

“Nilikubali Simba na kusaini mkataba kwa kipindi hicho Yanga walikuwa katika mchakato wa kunifuata Zambia ili nisaini mkataba kwa kuwa wao pia walinipa ofa,” Bwalya aliiambia MwanaSpoti.

“Niliwaambia ukweli Yanga kuwa nimekubali kusaini mkataba na moja ya timu ya Ligi kuu, lakini hawakunielewa na badala yake wakanifuata Zambia lakini ilitokea mimi pia nilikuwa njiani kuelekea Dar Es Salaam kusaini na Simba.


UNAWEZAJE KUKOSA KASINO YA BREAK AWAY LUCKY WILDS INAYOKUPA NAFASI YA USHINDI MURUA.

Break Away Lucky Wilds ni moja ya Sloti pendwa katika kasino za #meridianbet inayokupa mara 11,000X ya dau lako, unayo nafasi ya kuwa milionea unasubiri nini?

Bwalya, Bwalya: Niliipiga Chini Ofa ya Yanga na Kujiunga na Msimbazi, Meridianbet

CHEZA HAPA

 

4 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa