Hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika imeshakamilika na pia imeonesha barabara yote kwa vilabu vyote kufikia hatua ya mwisho ya Fainali

Mwakilishi kutoka Tanzania Simba SC atacheza dhidi ya Kaizer Chiefs kutoka Afrika Kusini ( ataanzia mechi ugenini na kumalizia nyumbani )

Akifanikiwa kupita hapo basi hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa  Afrika atakutana na mshindi baina ya MC Alger Vs Wydad Casablanca ( na mechi hiyo pia ataanzia ugenini kama akivuka robo fainali )

 

ligi ya mabingwa, CAF : Droo ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika., Meridianbet

Nusu Fainali za Ligi ya Mabingwa Barani Afrika zitacheza tarehe 18 & 19 Juni na marudiano ni tarehe 25 & 26 Juni 2021.

Al Ahly SC 🇪🇬 vs. 🇿🇦 Mamelodi Sundowns

MC Alger 🇩🇿 vs. 🇲🇦 Wydad AC

CR Belouizdad 🇩🇿 vs. 🇹🇳 Espérance Tunis

Kaizer Chiefs 🇿🇦 vs. 🇹🇿 Simba SC

Mchezo wa kwanza – 14 & 15 May 2021

Mchezo wa Pili – 21 & 22 May 2021


KWANI MERIDIANBET WANASEMAJE! MKWANJA UPO KWENYE KASINO MPYA YA MINI POWER ROULETTE.

Unawezaje kukosa ubingwa ndani ya kasino hii maridhawa, Nafasi ya kushinda mkwanja ni kwa kila mtu, Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa mmoja ya washidi leo, unasubiri nini?

Mini Power Roullete

CHEZA HAPA

11 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa