Mwamuzi kijana Ramadhan Kayoko amechaguliwa kuamua mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba na Yanga utakaopigwa Oktoba 23 siku ya jumapili utakaopigwa katika dimba la Benjamin Mkapa.Kayoko ni mwamuzi …
Makala nyingine
Mshambuliaji wa klabu ya Simba Moses Phiri ameahidi kufanya makubwea katika mchezo wa kariakoo derby kati ya klabu yake ya Simba dhidi ya Yanga utakaopigwa siku ya jumapili.Phiri ambae hakuepo …
Kocha mkuu wa klabu ya Simba Juma Mgunda amesema malengo yao kama timu ni kwenda kushinda mchezo wa derby siku ya jumapili Oktoba 23 utakaopigwa katika uwanja wa taifa Benjamin …
Mshambuliaji wa klabu ya Azam Abdul Khamis Suleiman Sopu atafanyiwa vipimo kutaoka na majeraha yanayomkabili msjambuliaji huyo siku za hivi karibuni.Sopu ambaye taarifa kutoka kwa daktari wa matajiri hao wa …
Mwekezaji na Rais wa heshima wa klabu ya Simba Mo Dewji bado ameendelea kuiota ndoto ya kuiona klabu ya Simba ikibeba Ubingwa wa Afrika siku moja baada ya kufanya uwekezaji …
TAARIFA zinaeleza kuwa Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania, Joslin Sharif ametimuliwa kutokana na matokeo mabaya ambayo yameiandama timu hiyo tangu kuanza kwa msimu huu.Polisi Tanzania ikiwa imecheza mechi sita tangu …
Sadio Mane Mshambuliaji wa Bayern Munich usiku wa jana ameshika nafasi ya pili katika tuzo za mwaka huu za Ballon d’Or, nyuma ya Kareem Benzema aliyefanikiwa kutwaa tuzo hiyo ya …
Mchezo dhidi ya klabu ya Kmc na klabu ya Azam Fc uliopangwa kuchezwa tarehe 22 mwezi huu ambao ilikua upigwe siku ya Jumamosi sasa rasmi utapigwa siku ya Ijumaa tarehe …
Klabu ya soka ya Yanga imefanikiwa kuingia mkataba na shirika la watoto duniani lijulikanalo kama UNICEF jambo hilo ambalo limetangazwa leo mapema na Rais wa klabu hiyo Eng Hersi Said.Katika …
Klabu ya Soka ya Simba imefanikiwa kufuzu hatua ya makundi ya kigi ya mabingwa Afrika baada ya kuitoa klabu ya Primero de Agosto ya nchini Angola. Klabu hiyo imefanikiwa kufuzu …
Klabu ya Vipers na mabingwa wa soka nchini Uganda wamefanikiwa kuwatupa nje Tp Mazembe kwenye michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika.Vipers wamefanikiwa kuwatoa Tp Mazembe katika arghi ya nyumbani …
Afisa habari wa klabu ya Simba Ahmed Ally amefunguka kuhusiana na mustakbali wa kocha ndani ya timu kutokana na taarifa tofauti tofauti zinazoendelea juu ya kocha wa mpya wa timu …
Afisa habari wa klabu ya Simba Ahmed Ally amesema msimu watajitahidi yasitokee yaliyotokea msimu uliomalizika katika michuano ya ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy. Ahmed Ally amezungumza wakati …
Klabu ya Dodoma Jiji kutoka mkoani Dodoma imemtangaza kocha mpya wa klabu hiyo raia wa Brazil Melis Medo mapema leo.Dodoma Jiji wamemtangaza kocha Medo baada ya kumfukuza aliekua kocha raia …
Klabu ya Al-Hilal ya Sudani imegoma mechi yao ya mzunguko wa pili wa ligi ya Mabingwa Afrika katika hatua ya awali ya ligi baada ya mchezo wa kwanza kupigwa katika …
Klabu ya soka Simba imeweza kupata matokeo mazuri ikiwa ugenini katika dimba la November 11 nchini Angola baada ya kuichabanga Premiro de Agosto kwa mabao matatu kwa moja katika mchezo …
Wonder Kid Peter Banda, ambaye ni winga wa klabu ya Simba baada ya kuwa nje kwenye michezo kadhaa ya timu yake, huku akiikosa safari ya kucheza mechi ya ugenini dhidi …