Makala nyingine

Mwamuzi kijana Ramadhan Kayoko amechaguliwa kuamua mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba na Yanga utakaopigwa Oktoba 23 siku ya jumapili utakaopigwa katika dimba la Benjamin Mkapa.Kayoko ni mwamuzi …

Mshambuliaji wa klabu ya Azam Abdul Khamis Suleiman Sopu atafanyiwa vipimo kutaoka na majeraha yanayomkabili msjambuliaji huyo siku za hivi karibuni.Sopu ambaye taarifa kutoka kwa daktari wa matajiri hao wa …

TAARIFA zinaeleza kuwa Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania, Joslin Sharif ametimuliwa kutokana na matokeo mabaya ambayo yameiandama timu hiyo tangu kuanza kwa msimu huu.Polisi Tanzania ikiwa imecheza mechi sita tangu …

Klabu ya soka ya Yanga imefanikiwa kuingia mkataba na shirika la watoto duniani lijulikanalo kama UNICEF jambo hilo ambalo limetangazwa leo mapema na Rais wa klabu hiyo Eng Hersi Said.Katika …

Klabu ya Dodoma Jiji kutoka mkoani Dodoma imemtangaza kocha mpya wa klabu hiyo raia wa Brazil Melis Medo mapema leo.Dodoma Jiji wamemtangaza kocha Medo baada ya kumfukuza aliekua kocha raia …

Klabu ya soka Simba imeweza kupata matokeo mazuri ikiwa ugenini katika dimba la November 11 nchini Angola baada ya kuichabanga Premiro de Agosto kwa mabao matatu kwa moja katika mchezo …

1 2 3 4 5