Shirikisho la soka barani Afrika “CAF” limetoa ratiba ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na ile ya Kombe la Shirikisho.

Katika Klabu Bingwa Afrika, Mechi za mkondo wa kwanza ni tarehe 25 na 26 Septemba na mkondo wa pili tarehe 2 na 3 Oktoba.

 

Caf Yatoa Ratiba Ligi ya Mabingwa na Shirikisho.

Timu zilizofu hatua hii ni :

Wydad AC 🇲🇦 x 🇪🇬 Al Ahly SC
Raja Club Athletic 🇲🇦 x 🇪🇬 Zamalek SC

Pia CAF wametoa ufafanuzi kuhusu kombe la shirikisho, ambapo itakuwa mechi ya mkondo mmoja tu na itachezwa tarehe 22, Septemba na fainali itachezwa Morocco katika dimba la Moulay Abdellah Stadium tarehe 27, Septemba.

 

Caf Yatoa Ratiba Ligi ya Mabingwa na Shirikisho.
 

Timu zilizofu hatua hii ni :

Pyramid FC 🇪🇬 x 🇬🇳 Horoya SC
RS Berkane 🇲🇦 x 🇲🇦 Hassania Agadir


Nini kinachokupa raha kama michezo ya kasino ya mtandaoni? Hasa unapojua kuwa kuna ushindi, jackpot na mizunguko kibao ya bure.
Ungana na bwana Meridian kupata ushindi na burudani.

Cheza Hapa Sasa

41 MAONI

  1. Huku ligi ya Mabingwa Ulaya inaanza tena August na kule CAF ligi ya mabingwa na shirikisho inaanza September#meridianbettz

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa