Afrika: listi ya Wachezaji 5 Wenye Magoli Mengi Kwenye EPL

Bara la Afrika limetoa wachezaji wengi wenye vipaji kwenye ligi kuu ya Uingereza kwa zaidi ya miaka 29, washambuliaji mahiri, viungo na wakabaji wakitokea nchi mbali mbali za Afrika.

1.Didier Drogba ana jumla ya magoli 104 ambayo amefunga akiwa ma klabu ya Chelsea pekee, mshambulia huyo wa kimataifa Ivory Coast ambaye amechukua kiatu cha dhahabu mara mbili akiwa na The Blues.

AFRIKA
Afrika – Yakubu, Salah NA Drogba

2.Mohamed Salah ana jumla ya magoli 103 amefunga akiwa na klabu mbili tofauti chelsea na Liverpool, ambapo alianza maisha na chelsea na kufunga magoli 13 kabla ya kuhamia As Roma na kurudi tena Uingereza na kujiunga na Liverpool na kuwasha moto na kuweka rekodi ya kufunga goli 32 kwenye michezo 38.

3.Sadio Mane amefunga magoli 99 akiwa na klabu mbili tofauti Southampton na  Liverpool, akiwa na southmpton aliweza funga goli 21 kwenye michezo 67 kabla ya kwenda Liverpool na kuwa moja ya wafungaji hatari akifunga goli 22 katika msimu 2018/19

AFRIKA
Afrika – Mane na Adebayor

4.Emmanuel Adebayor ana magoli kwenye timu tano tofauti Arsenal, Manchester City, Tottenham Hotspur na Crystal Palace mshambuliaji huyu kutokea togo anaukumbuka msimu wake bora akiwa Arsenal aliweza funga goli 46 kwenye michezo 104 na kufanikiwa kuchukua tuzo ya mchezaji bora wa Afrika mwaka 2008.

5.Yakubu ana mgoli 95 ameyapta akiwa na timu nne tofauti Portsmouth, Middlesbrough, Everton na Blackburn mshsmbuliaji huyu wa kutokea Nigeria alidumu kwenye ligi hiyo kuanzia 2003 hadi 2012.


SPACE SPIN NA MERIDIANBET.

Ni Mabingwa pekee Meridianbet wanakupa nafasi ya kushinda zaidi na mchezo wa Space Spin katika kasino bomba za meridianbet. Ni wakati wa kufurahia na kutengeza mkwanja bila kuwaza.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

Acha ujumbe