Timu ya Biashara United yenye maskani yake huko Shinyanga imekuwa ya kwanza kutinga nusu fainali ya kombe la Azam Sports Federation baada ya kuifunga timu ya Namungo ya huko kusini bao 2-0.

Magoli ya Mpapi Nasibu na Kelvin Friday yalitosha kabisa kuwapa ushindi timu hii ya Biashara United na kuiondoa kwenye mbio hizo Namungo.

Timu ya Namungo imeoneka kuchoka sana. Hii inatokana na ukweli kuwa walitumia nguvu kubwa sana wajkati wa kupanda ligi kuu, msimu wao wa kwanza tu kwenye ligi kuu, msimu wao wa kwanza tu kwenye Ligi wakafanya vizuri pamoja na kufika fainali ya Azam Sports Federation Cup.

Namungo wameshiriki mashindano mengi sana Afrika, CAF Confederation Cup, ASFC na Mapinduzi Cup. Ukiangalia mashindano yote rasmi yanahusisha kusafiri mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine, safari nyingine ni kwenda nje ya nchi.

Msimu uliopita walicheza fainali ya ASFC lakini msimu huu wameondolewa katika hatua ya Robo Fainali. Wachezaji wamecheza mechi nyingi, kwa uchanga wao wamechoka!


BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.

Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.

tuchel, Tuchel :Tuna Bahati Tottenham Wametusaidia Kazi., Meridianbet

SOMA ZAIDI

2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa