CAF: Mchezo Kati ya Sudan vs Algeria wa Ahirishwa

CAF yaihirisha mchezo kati ya Sudan vs Algeria kutokana na matatizo ya kisiasa ambayo yametokea nchini Sudan.

Mchezo huo wa kufuzu mashindano ya ‘TotalEnergies Women’s Africa Cup of Nations’ ambao ulipangwa kufanyika jijini Khartoum tarehe 26 oktoba 2021 umeahirishsha, mchezo huo utapangiwa tarehe nyingine, huku CAF wakifuatilia kwa makini hali ya usalama na wanafanya maandalizi ya kuisafirisha timu ya Algeria kurudi nchini mwake.


 

MCHONGO WA PESA NA CIRCUS FEVER

Mchongo wa mkwanja mrefu kutoka kasino bora za mtandaoni za Meridianbet. Mchezo wa Circus Fever unakuweka katika nafasi nzuri ya kuwa mshindi. Furahia kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa meridianbettz.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe