CAF Yatangaza Majina ya Wanaowania Tuzo kwa Msimu 2022

Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF limetoa majina ya wanaowania tuzo za CAF Awards 2022 ambazo zimepangwa kufanyika 21 July 2022 huku sherehe za kuwatunu tuzo hizo zitarajiwa kufanyika jijini Rabat, Morocco.

CAF imetoa listi kwa upande wa wanaume tu, huku listi ya wanawake ikitarajiwa kutolewa hivi karaibuni. Vipengere ambavyo vinashindaniwa ni mchezaji bora wa mwaka, kocha bora wa mwaka, mchezaji bora kijana wa mwaka, na mchezaji bora aliyechezea klabu mbili kwa mwaka, klabu bora na timu bora ya taifa kwa mwaka.

CAF
CAF Awards 2022

Washika dau ambao waliyohusika kutengeneza vipengere hivyo ni Malejendari wa CAF, waandishi na magwiji wa ufundi kwa idara mbali mbali za soka.

MAJINA YA YOTE YA WALIOTEULIWA KUSHINDANIA CAF AWARDS 2022

MCHEZAJI BORA WA MWAKA

  1. Riyad Mahrez (Algeria & Manchester City)
  2. Bertrand Traore (Burkina Faso & Aston Villa)
  3. Blati Toure (Burkina Faso & Pyramids)
  4. Edmund Tapsoba (Burkina Faso & Bayer Leverkusen)
  5. Andre-Frank Zambo Anguissa (Cameroon & Napoli)
  6. Karl Toko Ekambi (Cameroon & Lyon)
  7. Vincent Aboubacar (Cameroon & Al Nassr)
  8. Youssouf M’Changama (Comoros & Guingamp)
  9. Franck Kessie (Cote d’Ivoire & AC Milan)
  10. Sebastien Haller (Cote d’Ivoire & Ajax)
  11. Mohamed Abdelmonem (Egypt & Al Ahly)
  12. Mohamed ElNeny (Egypt & Arsenal)
  13. Mohamed Salah (Egypt & Liverpool)
  14. Mohamed Shenawy (Egypt & Al Ahly)
  15. Musa Barrow (Gambia & Bologna)
  16. Naby Keita (Guinea & Liverpool)
  17. Aliou Dieng (Mali & Al Ahly)
  18. Hamari Traore (Mali & Rennes)
  19. Yves Bissouma (Mali & Tottenham Hotspur)
  20. Achraf Hakimi (Morocco & Paris Saint-Germain)
  21. Sofiane Boufal (Morocco & Angers)
  22. Yahya Jabrane (Morocco & Wydad Athletic Club)
  23. Yassine Bounou (Morocco & Sevilla)
  24. Moses Simon (Nigeria & Nantes)
  25. Edouard Mendy (Senegal & Chelsea)
  26. Kalidou Koulibaly (Senegal & Napoli)
  27. Nampalys Mendy (Senegal & Leicester City)
  28. Sadio Mane (Senegal & Bayern Munich)
  29. Saliou Ciss (Senegal & Nancy)
  30. Ali Maaloul (Tunisia & Al Ahly)

MCHEZAJI BORA ALIYECHEZEA KLABU ZAIDI YA MOJA KWA MWAKA

  1. Riad Benayad (ES Setif)
  2. Tiago Azulao (Petro Atletico)
  3. Karim Konate (ASEC Mimomas)
  4. Ali Maaloul (Al Ahly)
  5. Aliou Dieng (Al Ahly)
  6. Mohamed Shenawy (Al Ahly)
  7. Mohamed Sherif (Al Ahly)
  8. Percy Tau (Al Ahly)
  9. Morlaye Sylla (Horoya)
  10. Achraf Dari (Wydad Athletic Club)
  11. Yahya Jabrane (Wydad Athletic Club)
  12. Zouhair El Moutaraji (Wydad Athletic Club)
  13. Mouhcine Moutouali (Raja Club Athletic)
  14. Issoufou Dayo (RS Berkane)
  15. Youssou El Fahli (RS Berkane)
  16. Victorien Adebayor (Niger & Union Sportive Gendarmerie Nationale)
  17. Peter Shalulile (Mamelodi Sundowns)
  18. Bandile Shandu (Orlando Pirates)
  19. Thembinkosi Lorch (Orlando Pirates)
  20. Mohamed Ali Ben Romdhane (Esperance Sportive de Tunis)

MCHEZAJI KIJANA BORA WA MWAKA

  1. Dango Ouattara (Burkina Faso & Lorient)
  2. Karim Konate (Cote d’Ivoire & ASEC/RB Salzburg)
  3. Jesus Owono (Equatorial Guinea & Alaves)
  4. James Gomez (The Gambia & AC Horsens)
  5. Kamaldeen Sulemana (Ghana & Rennes)
  6. Ilaix Moriba Kourouma (Guinea & Valencia)
  7. El Bilal Toure (Mali & Reims)
  8. Akinkunmi Amoo (Nigeria & FC Copenhagen)
  9. Pape Matar Sarr (Senegal & Metz)
  10. Hannibal Mejbri (Tunisia & Manchester United)

KOCHA BORA WA MWAKA

  1. Kamou Malo (Burkina Faso)
  2. Amir Abdou (Comoros)
  3. Carlos Quieroz (Egypt)
  4. Pitso Mosimane (Al Ahly)
  5. Tom Saintfiet (The Gambia)
  6. Florent Ibenge (RS Berkane)
  7. Vahid Halilhodzic (Morocco)
  8. Walid Regragui (Wydad Athletic Club)
  9. Aliou Cisse (Senegal)
  10. Mandla Ncikazi (Orlando Pirates)

TIMU BORA YA TAIFA YA MWAKA

  1. Burkina Faso
  2. Cameroon
  3. Comoros
  4. Egypt
  5. Equatorial Guinea
  6. The Gambia
  7. Mali
  8. Morocco
  9. Senegal
  10. Tunisia

KLABU BORA YA MWAKA

  1. ES Setif (Algeria)
  2. Petro Atletico (Angola)
  3. TP Mazembe (DR Congo)
  4. Al Ahly (Egypt)
  5. Ahli Tripoli (Libya)
  6. Al Ittihad (Libya)
  7. Raja Club Athletic (Morocco)
  8. RS Berkane (Morocco)
  9. Wydad Athletic Club (Morocco)
  10. Orlando Pirates (South Africa)

ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

Acha ujumbe