Kaizer Chiefs imevunja mkataba wa aliyekuwa kocha wake Gavin Hunt. Kocha huyo alijiunga na Kaizer Chiefs September 2020 na kuifundisha timu hiyo katika msimu wa 2020/21.

Ikumbukwe chini ya Hunt Kaizer Chiefs ilifanikiwa kuifunga simba kwenye michuano ya klabu bingwa africa kwa ushindi wa magoli manne kwa bila ikiwa ni mechi ya kwanza ya robo fainali aliyocheza dhidi ya simba.
Huenda uongozi wa Kayzer ulitegemea matokeo chanya hapo kwa mkapa , na badala yake ilikua kinyume baada ya vijana wa Gomez Simba sports club kujaribu kupindua meza kwa kuichapa kyzer chiefs mabao matatu kwa bila.

Ushindi wa simba haukua na Athari kubwa kwa Kyzer Chiefs lakini Uongozi wa Amakhosi ukaona Haipo haja ya kuendelea na Hunt hususan katika hatua ya nusu fainali ya kombe la klabu bingwa afrika na kuamua kumtema
Hunt akiwa kocha wa Amakhosi aliiongoza timu hiyo kwenye mechi rasmi 44 kwenye mashindano yote. Ameshinda mechi 12, Sare 17, amepoteza 15.
Katika kipindi hiki Makocha wasaidizi Arthur Zwane na Dillon Sheppard wataiongoza timu.
BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.
Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.