Motsepe Atoa Matumaini kwa Mataifa ya Afrika Kuelekea Kombe la Dunia 2026

Rais wa Shirikisho la Soka Afrika, Patrice Motsepe, ametoa ujumbe mzito wa matumaini kwa mataifa ya Afrika kuelekea FIFA World Cup 2026, akisisitiza imani yake kuwa bara hilo lina uwezo wa kufika mbali katika michuano hiyo.

Motsepe Atoa Matumaini kwa Mataifa ya Afrika Kuelekea Kombe la Dunia 2026Akizungumza na wanahabari nchini Senegal, Motsepe aliweka wazi matarajio yake makubwa kwa timu za Afrika, hasa akilitaja taifa la Senegal kuwa na nafasi ya kufika hatua ya juu kabisa ya mashindano hayo.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa
“Nadhani nitaiona Senegal kwenye fainali ya Kombe la Dunia kule Marekani! Na labda hata mataifa mawili ya Afrika yakikutana fainali,” alisema Patrice Motsepe.

Motsepe Atoa Matumaini kwa Mataifa ya Afrika Kuelekea Kombe la Dunia 2026Aliongeza kwa msisitizo wa imani akisema “Inshallah, tukutane fainali? Hilo litaifanya Afrika ijivunie,” kauli ambayo ilipokelewa kwa shangwe na makofi makali kutoka kwa wanahabari waliokuwepo.

Motsepe Atoa Matumaini kwa Mataifa ya Afrika Kuelekea Kombe la Dunia 2026Ujumbe huo umeongeza ari kwa mataifa 10 ya Afrika yanayotarajiwa kushiriki Kombe la Dunia 2026, huku ukionekana kuwa kichocheo cha matumaini kwa bara zima katika juhudi za kufanya vizuri zaidi kwenye jukwaa la kimataifa.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.