Klabu ya Simba inatarajia kutupa karata yake nyingine huko Uganda leo dhidi ya Vipers kwenye michuano ya Klabu Bingwa barani Afrika.

 

Simba ni Kufa au Kupona Huko Uganda Dhidi ya Vipers

Mechi hiyo ni ya tatu kwa Mnyama huku akiwa amepoteza mechi mbili mfululizo kwenye mashindano haya toka yaanze kwenye makundi huku Raja Casablanca ya Morocco ikiwa ndiyo inaongoza kundi hilo.


Mechi hii ni ya kufa na kupona kwa Simba kwani endapo atashindwa kupata matokeo kwenye mchezo huu atakuwa hana nafasi ya kumaliza nafasi ya pili kwani ya kwanza mabo ni magumu.

Michezo ya kasino ya mtandaoni kama Sloti, Aviator, Roulette na Poker zipo kwaajili yako usipitwe wwikendi hii ni yako.

Simba ni Kufa au Kupona Huko Uganda Dhidi ya Vipers

Vipers nae kwenye kundi bado hajapata ushindi wowote kwenye michezo yote miwili huku mchezo wa kwanza amepoteza na wa pili ametoa sare.

Je Simba hii leo nini hatma yake mbele ya Vipers? Kila timu inahitaji ushindi kuweza kuendelea kwenye michuano hii.

Bashiri mechi hii ambayo ina ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 ambayo unaweza ukabeti sasa.

 


JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa