Twiga Stars Bado Ina Njia ya Robo Fainali Licha ya Kichapo cha Burkina Faso

Licha ya kupoteza kwa mabao 2-1 dhidi ya Burkina Faso katika mchezo wa pili wa Kundi B wa Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026, matumaini ya Tanzania Twiga stars  kutinga hatua ya robo fainali bado yapo hai kuelekea mchezo wa mwisho wa makundi.

Twiga Stars Bado Ina Njia ya Robo Fainali Licha ya Kichapo cha Burkina FasoKwa sasa, Twiga Stars ina pointi tatu, sawa na Burkina Faso, huku Ivory Coast ikiongoza kundi ikiwa na pointi nne na South Africa ikishika mkia kwa pointi moja. Hali hiyo inaifanya mechi ya mwisho ya kundi kuwa ya maamuzi kwa kila timu.

mpira wa miguu, kubeti mpira wa miguu, bashiri soka, soka, beti kwenye soka, odds za soka, bashiri mpira wa miguu, beti za soka, beti mechi za soka, odds za kubeti mpira wa miguu

Tanzania italazimika kuifunga Ivory Coast katika mchezo wake wa mwisho utakaochezwa Agosti 4 ili kufikisha pointi sita na kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kumaliza miongoni mwa timu mbili za juu. Wakati huo huo, Burkina Faso itavaana na Afrika Kusini katika mchezo mwingine wa kundi hilo, matokeo ambayo pia yataathiri msimamo wa mwisho.

Twiga Stars Bado Ina Njia ya Robo Fainali Licha ya Kichapo cha Burkina FasoIwapo Twiga Stars itatoka sare, itafikisha pointi nne na italazimika kusubiri matokeo ya mechi nyingine pamoja na hesabu za tofauti ya mabao. Endapo itapoteza, itabaki na pointi tatu na matumaini yake yatategemea nafasi ya timu bora zilizomaliza katika nafasi ya tatu kutoka makundi yote.

Twiga Stars Bado Ina Njia ya Robo Fainali Licha ya Kichapo cha Burkina Faso“Twiga Stars bado ina nafasi ya kufuzu robo fainali ikiwa itaifunga Ivory Coast katika mchezo wa mwisho wa Kundi B. Kwa mujibu wa mfumo wa WAFCON 2026, timu mbili za juu kutoka kila kundi pamoja na timu mbili bora zilizomaliza katika nafasi ya tatu ndizo zitakazofuzu hatua ya robo fainali, hivyo ushindi utakuwa muhimu kwa Tanzania kufufua ndoto zake za kusonga mbele.”

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.