Dani Carvajal amesaini dili ya mkataba wa miaka minne na Real Madrid, ambao utamfunga mpaka mwaka 2025.

Carvajal Asaini Mkataba wa Miaka Minne na Real Madrid

Beki huyo wa upande wa kulia ameungana na kiungo Luka Modric na beki anayebadilika badilika Nacho kwa makubaliano mapya na klabu kuelekea msimu mpya 2021-22.

Carvajal alitokea kwenye timu ya vijana lakini aliulizwa katika timu ya Bundesliga Bayer Leverkusen  mnamo Julai 2012 na hakuweza kucheza hata mechi moja na timu ya kwanza.

Lakini, Real Madrid walitumia kipengele cha kumnunua tena mwaka uliyofuata na alianza kupangwa kama kawaida na kuisadia timu kushinda mataji mablimbali. Ameshinda LaLiga mara mbili, vilevile Ligi ya Mabingwa mara nne na Real Madrid.

Carvajal Asaini Mkataba wa Miaka Minne na Real Madrid

Lakini pia Carvajal alikuwa akisumbuliwa na majeraha msimu uliyopita hali iliyopelekea kucheza mara 13 katika LaLiga wakati kikosi cha Zinedine Zidane kilishindwa kutetea ubingwa wa LaLiga.

Jeraha la harmstring lilimfanya ashindwe kuitwa kwenyekikosi cha Spain kwaajili ya michuano ya Euro 2020 lakini alainza mazoezi na wachezaji wenzake wa Real Madrid chini ya mwalimu mpya Carlo Ancelotti kwaajili ya kampeni mpya.


KUWA SHUJAA KATIKA KASINO ZA MERIDIANBET!

SHOOT! mchezo unaokupa nafasi ya kupambania ushindi wako mkubwa kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet! Usisubiri hii, jiunge sasa kufurahia ushindi!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa