Breaking News!! Meridianbet Kutoa Bonasi ya Kasino ya Mtandaoni kwa Siku 366

 

Hatimaye Mabingwa wa Michezo ya Ubashiri Meridianbet imekuja na promosheni Baab Kubwa kwa kipindi cha mwaka mzima ambapo inamwaga bonasi ya kucheza bure sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni.

Jambo kubwa linapoanzishwa huwa linaenda kishtua nchi, je wewe unaweka kiasi gani kwenye akaunti yako ya Meridianbet kwa muda wa mwezi mmoja?

Kuanzia Julai 4 mpaka Agosti 31, 2023 kuna zawadi kubwa zinakusubiri bingwa wa sloti na kasino ya mtandaoni. Unaweza kuingia kwenye droo ya shindano la wakali wa kujaza salio kisha ukajazwa bonasi ya siku 366 yaani mwaka mzima unapewa bonasi ya kucheza michezo ya sloti kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

 Vigezo na Masharti ya Promosheni

Weka TZS 25,000 au zaidi kwenye akaunti yako na kisha cheza michezo ya kasino ya mtandaoni kwa kiasi cha TZS 100,000 utakuwa kwenye nafasi ya kujishindia bonasi ya kibabe kwa siku 366 mfululizo!

Ifikapo tarehe 01.Mwezi 09 Meridianbet itawatangaza washindi watakaopata bonasi kwa siku 366 za kucheza kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti. Kila asubuhi, kuanzia tarehe 04.09.2023 hadi 03.09.2024, saa 12:00, mshindi atalipwa bonasi ya TZS 25,000 ambayo anaweza kucheza michezo ya Sloti.

 

kasino ya mtandaoni

 

  • Bonasi ya Kasino lazima itumike siku hiyo hiyo.
  • Bonasi ya Kasino itatumika kwenye ofa za sloti za kasino ya mtandaoni.
  • Ofa hii ni halali kwa anwani moja ya I.P. kwa mteja.
  • Katika kesi ya udanganyifu, matumizi ya kiufundi, pamoja na mambo yasiyokuwa ndani ya uwezo wa mwendeshaji, ambayo yanaweza kuathiri uaminifu na utendaji mzuri wa matangazo, mwendeshaji anahifadhi haki ya kutengua ushindi huo.
  • Kila mteja aliyejisajili na meridianbet.co.tz moja kwa moja atakuwa amekubali masharti na vigezo vya promosheni hii.
  • Meridianbet inahifadhi haki ya kubadilisha sheria za promosheni hii wakati wowote pamoja na kusitisha promosheni hii.

Acha ujumbe