Wild Corrida, Sloti ya Kibingwa Meridianbet.

Sloti za Expanse Studios zimekuwa na matokeo mazuri. Kuna sloti kama Piggy Party, Maya’s Treasure au Fairy in Wonderland. Safari hii mchongo ni Wild Corrida.

Huu ni mchezo unaotokana na utamaduni wa mapigano ya mafahali. Wakati ambapo wengine wanauona ni mchezo wa vurugu, unapendwa sana kule nchini Hispania hasa Seville ambapo ndio chimbuko. Utamaduni ni kitu kikubwa kwa watengenezaji wa sloti lakini Expanse wameenda mbali zaidi.

Mchezo wenye namna 5 na njia 178 za ushindi, Sloti ya Wild Corrida inakuweka kwenye viatu vya fahali mpambanaji kwa siku moja. Ni namna nzuri ya kuonesha maisha ndani ya Corrida na sifa za Expanse. Kama umevutiwa na hilo, karibu na ujaribu Sloti hii bure au kwa kuweka pesa halisi kwenye Kasino ya Meridianbet.

Unajua Utamu wa Sloti ya Wild Corrida Upoje? Chukua Hii…

Sloti hii inachezwa katika mtindo wa 4×5 na una namna 178 za kucheza. Ili kutengeneza mchanganyiko wa ushindi, alama za pembeni ya reels lazima zikutane kwenye kona au pembe. Kwa upande wa picha, studio za Expanse zimefanya kazi nzuri kwenye mashine ya sloti hii. Wahusika wamepewa sifa ya katuni na wanaonekana vizuri zaidi.

Sauti inaendana vizuri na picha, muziki wa kihispania umepambwa na mingurumo ya ng’ombe dume pamoja na sauti za mashabiki. Kwa lugha rahisi, sloti hii itakufanya ujione umefika Seville kwa muda mfupi.

Wild Corrida

Sifa za Pambano La Mafahali Zipo hivi;

Sloti hii inaweza kuonekana kama ni mashine nyepesi, lakini, unaweza kukitathimini kitabu kwa kuangalia kava lake? Sloti ya Wild Corrida imejaa sifa za kipekee, kila sifa ina ng’ombe dume asiye muoga.

Ng’ombe dume wa dhahabu anaashiria alama zote kasoro ng’ombe mwitu na fahali mpambanaji. Mwanzo mwa mchezo, wild inapatikana kwenye reel ya 2, 3 na 4 pekee. Sifa zingine za kipekee zinaweza kutokea popote.

Sio kila sifa inahusiana na ng’ombe dume. Fahali mpambanaji pekee, anakuzawadia mizunguko 3 ya kujirudia pale ambapo 3 itatokea kwenye corrida. Pia, kama kuna ng’ombe mwitu kwenye reels, ng’ombe dume ataondoka na sifa ya Wild inaonekana. Ikifikia hapa, ng’ombe mwitu atapambana na fahali mpambanaji mpaka atakapo mshinda.

Malipo ya ushindi yanafanyika pale ambapo hakuna fahali aliyebaki na yanazidishwa kwa thamani ya pesa yako.

Cheza sloti ya Wild Corrida kwenye kasino ya Meridianbet Bure au kwa kuweka pesa halisi. Kwa faida ya 96.30% anayorudishiwa mchezaji, unaweza kujipatia pesa zaidi.


VUNA MKWANJA NA SHINDANO LA EVOPLAY SPRING AWEKING

Mchongo mpya mjini ni Shindano la Evoplay Spring Aweking katika kasino maridhawa za meridianbettz. Pata mgao wako wa TSh 25,000,000  katika michezo kibao ya kasino na sloti ziliyochaguliwa kushiriki.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

Acha ujumbe