Nyumbani Basketball

Basketball

curry

Alama 47 Za Steph Curry Zashindwa Kuikoa Warriors!

Katika NBA hapo jana, Steph Curry alishindwa kuiokoa timu yake kuepuka kichapo cha 119 - 114 baada ya vita kali yake na Jason Tatim. Hayo yalitokea katika mechi ya kukata na shoka kati ya Boston Celtics na Golden State...
Solskjaer atamani ubingwa Europa

Solskjaer Atazamia Kuchukua Ubingwa wa Europa!

Kocha wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer aeleza kwamba anatamani na kuamini kwamba timu yake itafika fainali ya Europa League na kuchukua kombe hilo. Manchester United walikuwa mwa miongoni mwa timu nne zilizotinga nusu fainali ya kombe la Europa, huku...
NBA:

NBA: Curry Aweka Rekodi Warriors.

Burudani ya ligi ya NBA mara zote inaendana na kufikiwa/kuwekwa au kuvunjwa kwa rekodi kadha wa kadha. Jumatatu hii, Stephen Curry ameweka rekodi ndani ya timu yao ya Golden State Warriors. Licha ya Warriors kutokuwa na matokeo mazuri msimu huu,...
NBA

NBA: Celtics Yawatoa Umaarufu Nuggets.

Safari ya Denver Nuggets ya kutopoteza michezo 8, imesitishwa na Boston Celtics katika muendelezo wa NBA msimu huu. Licha ya Celtics kuongozwa kwa pointi 79-65 katika robo ya tatu, mambo yalikuwa tofauti baada ya kupindua matokeo na kuwa 31-31. Jayson Tatum...
Lakers wawafunga nets

LA Lakers Yaichapa Brooklyn Nets 126-101

Timu ya Los Angels Lakers imefanikiwa kuifunga Brooklyn Nets ya Durant alama 126 kwa 101. Katika mechi ya jana, Lakers walionekana kutawala mchezo huo kiwango kikubwa. Viajan wa Los Angels walionesha mchezo mzuri licha ya kukutana na wachezaji nyota wakubwa...
NBA

NBA: Stephen Curry Awachoma The Bucks.

Ni mwendo wa vipigo na vicheko kunako Ligi ya NBA nchini Marekani. Rekodi zinawekwa na kuvunjwa kila iitwapo leo. 2020/21 hakika mambo ni moto! Licha ya Golden State Warriors kutokuwa na msimu mzuri, Stephen Curry ameendelea kuwa bora na kuonesha...
kevin durant

Durant Apigwa Faini Ya Dola 50,000 Kwa Lugha Chafu

Nyota wa mpira wa kikapu wa timu ya Brooklyn Nets, Kevin Durant amepigwa faini ya kulipa faini ya dola 50,000 kwa kosa la kutumia lugha ya matusi kwa mwigizaji Michael Rapaport katika mazungumzo binafsi ya mtandaoni. Siku ya jumatano kuliibuka...
NBA

NBA: Warriors Hali Mbaya 2020/21!

Hali sio shwari kwenye timu ya Golden State Warriors msimu huu kunako NBA. Idadi ya michezo wanayopoteza inazidi idadi ya michezo wanayoshinda, kulikoni?? Usiku wa kuamkia leo, Warriors walikuwa uwanjani kuchuana na Toronto Raptors. Huu ni mchezo ambao umekuwa ni...

NBA: Nets Yawapiku 76ers Kibingwa.

Unapozungumzia NBA unazungumzia msimu wa kawaida ambapo ni michezo ya Eastern na Western Conference, lakini utamu wa ligi hiyo unakuwa moto kwenye hatua ya play-offs. Michezo wa msimu wa kawaida inaendelea kutoa matokeo ya kila namna. Misimamo ya Eastern...
NBA

NBA: Bucks Wakataa Utumwa mbele ya Lakers.

Kunako muendelezo wa NBA, Milwaukee Bucks wamejinasua kwenye msururu wa vipigo vitatu mfululizo kwenye mchezo dhidi ya LA Lakers. The Bucks walikuwa uwanjani kuchuana na Lakers usiku wa kuamkia leo ambapo matokeo ya pointi 112-97, yaliwatosha The Bucks kuwaadhibu mabingwa...

MOST COMMENTED

HOT NEWS