Nyumbani Champions League

Champions League

Tumestahili Ushindi Dhidi ya Pep – Tuchel

Kocha Mkuu wa Chelsea, Thomas Tuchel amesema kuwa kikosi chake kilistahili ushindi dhidi ya Pep huku akitanabaisha kuwa Pep ni moja ya makocha bora Duniani. Chelsea jana walipata ushindi wa 1-0 katika nusu fainali ya kombe la FA dhidi ya...
Ninja

Ninja Mpira Ukikuacha, Usikubali Kuachika

Mabadiliko ya mpira wa kisasa yameleta ukatili kwenye dunia ya soka. Siku hizi kitu kimoja pekee hakikutoshi kuwa mchezaji. Siku hizi uimara wa mchezaji hautambuliki tena kwa kufanya majukumu yake ya msingi. Unashangaa? Ndiyo uimara wa mchezaji hautambuliki kwa kufanya...
Kane

Kane Chagua kuwa Shetani au Malaika

Kuna kitu kimoja Harry Kane kwa sasa anahitaji. Anahitaji kuamua anataka akumbukwe kama nani. Gwiji Edo Kumwembe alisema, anatakiwa kuchagua kuwa shetani au malaika. Miezi mitatu ijayo atakuwa na miaka 28. Kama anahitaji kuondoka Spurs, huu ndio muda sahihi, hana...
Kessy

Nipo Tayari Kusaini Yanga – Kessy

Beki tegemezi wa pembeni ndani ya kikosi cha Mtibwa Sugar, Hassan Kessy amesema kuwa yupo tayari kusaini kwenye timu yoyote ambayo itahitaji saini yake hata wakiwa ni mabosi wake wa zamani, Yanga. “Mimi ni mchezaji na nipo tayari kucheza popote...
Pavol

Pavol Kutua Mamelodi Sundowns

Club ya Sepsi OSK ya Romania imeripotiwa kukubali ofa ya Euro 700,000 (Tsh Bilioni 1.9) kutoka Club ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini ili imuachie Pavol Safranko (26) ajiunge nao. Mshambuliaji huyo Pavol ambaye ni Raia wa Slovakia amefunga magoli...
Laporta Anaimani Messi Atabaki Barcelona

Laporta Anaimani Messi Atabaki Barcelona

Raisi mpya wa Barcelona Joan Laporta "anashawishika" kusema Lionel Messi atasaini mkataba wa kuendelea kukaa na miamba hao LaLiga. Messi yupo nje ya mkataba mwisho wa msimu huu na mchezaji huyo wa miaka 33 na hatima ya nyota huyo wa...
Liverpool

Stephen Whittle, Shabiki wa Liverpool Mhanga wa 97

Hii ni picha ya Stephen Whittle, shabiki wa Liverpool anayehesabiwa kama mhanga wa 97 wa maafa ya Hillsborough. Aprili 15, 1989, Liverpool ilipangwa kukutana na Nottingham Forest kwenye nusu fainali ya Kombe la FA, dimbani Hillsborough huko Sheffield. Ndugu yetu...
Mane

Sadio Mane na Maisha ya Kimaskini

Kijijini kabisa huko Sedhiou Senegal, alizaliwa na kukua kwenye umaskini wa kiwango cha juu. Kwa Sadio Mane umaskini si hadithi aliyoisoma kwenye kitabu, si tukio alilolitazama kwenye filamu. Kwa Sadio Mane, umaskini ulikuwa ndugu yake wa karibu aliyelala nae kitanda...
Ten Hag Apata Wasiwasi na Kiwango cha Kudus

Ten Hag Apata Wasiwasi na Kiwango cha Kudus

Kocha wa Ajax Erik ten Hag hakufurahishwa kiwango cha Mohammed Kudus kwenye mchezo waliyokwenda sare ya 1-1 katika Ligi ya Uropa dhidi ya AS Roma lakini anaamini mshambuliaji huyo lazima apewe muda zaidi ili arudi kwenye ubora wake. One-nil up,...

2020-21 Msimu Bora kwa Manchester City

Klabu ya Manchester City imekuwa na mwaka mzuri kwa kuwa kwenye mwelekeo mzuri katika mashindano mbalimbali ya ndani Uingereza na Ulaya. Manchester City imefikisha miaka 127 tangu kuanzishwa kwake na msimu wa 2020-21 imefikisha msimu wa 19 mfululizo kuwa katika...

MOST COMMENTED

Havertz: Mlipe Tunachotaka Au Abaki Hapa

Kinda Kai Havertz anaendelea kuzitawala anga za usajili akihusishwa na timu ya Chelsea kunako Ligi Kuu Uingereza - EPL. Kumekuwa na taarifa nyingi juu ya...

HOT NEWS