Nyumbani Premier League

Premier League

De Bruyne Apata Jeraha la Kifundo cha Mguu

De Bruyne Apata Jeraha la Kifundo cha Mguu

Manchester City itamtathmini Kevin De Bruyne kugundua ukali wa jeraha la kiungo huyo kabla ya safari ya Jumatano Aston Villa. De Bruyne aliumia wakati wa mchezo wa nusu fainali ya Kombe la FA dhidi ya Chelsea Jumamosi na jeraha la...

Tumestahili Ushindi Dhidi ya Pep – Tuchel

Kocha Mkuu wa Chelsea, Thomas Tuchel amesema kuwa kikosi chake kilistahili ushindi dhidi ya Pep huku akitanabaisha kuwa Pep ni moja ya makocha bora Duniani. Chelsea jana walipata ushindi wa 1-0 katika nusu fainali ya kombe la FA dhidi ya...
Ninja

Ninja Mpira Ukikuacha, Usikubali Kuachika

Mabadiliko ya mpira wa kisasa yameleta ukatili kwenye dunia ya soka. Siku hizi kitu kimoja pekee hakikutoshi kuwa mchezaji. Siku hizi uimara wa mchezaji hautambuliki tena kwa kufanya majukumu yake ya msingi. Unashangaa? Ndiyo uimara wa mchezaji hautambuliki kwa kufanya...
Premier League Kuzindua Hall of Fame Aprili 19

Premier League Kuzindua Hall of Fame Aprili 19

Jumba la Umaarufu (Hall of Fame) itazinduliwa rasmi Aprili 19, Premier League imethibitisha, na wachezaji wawili watapewa heshima kama waanzilishi wa uzinduzi na wengine sita kujumuishwa kwa kura za mashabiki. Wazo hilo hapo awali lilikuwa likianza kuzinduliwa mwaka jana lakini...
Kane

Kane Chagua kuwa Shetani au Malaika

Kuna kitu kimoja Harry Kane kwa sasa anahitaji. Anahitaji kuamua anataka akumbukwe kama nani. Gwiji Edo Kumwembe alisema, anatakiwa kuchagua kuwa shetani au malaika. Miezi mitatu ijayo atakuwa na miaka 28. Kama anahitaji kuondoka Spurs, huu ndio muda sahihi, hana...
Kessy

Nipo Tayari Kusaini Yanga – Kessy

Beki tegemezi wa pembeni ndani ya kikosi cha Mtibwa Sugar, Hassan Kessy amesema kuwa yupo tayari kusaini kwenye timu yoyote ambayo itahitaji saini yake hata wakiwa ni mabosi wake wa zamani, Yanga. “Mimi ni mchezaji na nipo tayari kucheza popote...
Pavol

Pavol Kutua Mamelodi Sundowns

Club ya Sepsi OSK ya Romania imeripotiwa kukubali ofa ya Euro 700,000 (Tsh Bilioni 1.9) kutoka Club ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini ili imuachie Pavol Safranko (26) ajiunge nao. Mshambuliaji huyo Pavol ambaye ni Raia wa Slovakia amefunga magoli...

Uchambuzi FA Cup: Chelsea vs Manchester City

FA Cup ni michuano mikubwa nchini Uingereza ambapo Arsenal ndiyo vinara wa kutwaa mara nyingi kombe hilo wakiwa wameshinda mara 14 wakifuatiwa na Man United mara 12 na watatu ni Chelsea ambao wameshinda mara 8, leo tarehe 17 April...

Rashford Ampa Pole Smalling Kwa Kuvamiwa na Wezi

Marcus  Rashford ameonesha sapoti yake kwa Chris Smalling baada ya mchezaji huyo wa zamani wa Manchester United kuripotiwa kuwa muhanga wa uvamizi wa silaha. Smallimg na familia yake walisema walikuwa nyumbani huko Appia Anticia katika wilaya ya Roma pale wanaume...
Liverpool

Stephen Whittle, Shabiki wa Liverpool Mhanga wa 97

Hii ni picha ya Stephen Whittle, shabiki wa Liverpool anayehesabiwa kama mhanga wa 97 wa maafa ya Hillsborough. Aprili 15, 1989, Liverpool ilipangwa kukutana na Nottingham Forest kwenye nusu fainali ya Kombe la FA, dimbani Hillsborough huko Sheffield. Ndugu yetu...

MOST COMMENTED

Uchambuzi:Mchezo wa Kirafiki England vs Wales.

Bosi wa timu ya taifa ya Uingereza Gareth Southgate atatoa nafasi kwa wachezaji makinda waweze kuonesha walicho nacho pale Wales itakapo tembelea viunga vya...

HOT NEWS