AFCON

Freddie Kanoute

Freddie Kanoute ‘Nililazimishwa kuwa wakala wa soka’

Mshambuliaji wa zamani wa Mali Freddie Kanoute anasema hakutaka kamwe kuwa wakala wa soka. Kampuni ya Kanoute kwa jina 12 Management sasa inaziwakilisha timu kama Red Bull Salzburg na Patson Daka ya Zambia pamoja na Mali na Moussa Djenepo...
VAR CAF Champions League

CAF Kuleta VAR Robo Fainali Ya Ligi Mabingwa

Shirikisho la soka barani Afrika CAF limetoa taarifa kwamba litatembelea viwanja nane vitavyotumika katika robo fainali ya michuano ya klabu bingwa Afrika ili kuangalia uwezekano wa kutumia usaidizi wa uamuzi wa video,VAR. Ratiba ya robo fainali inategemewa kutoka tarehe 30...

Simba Ni “Next Level” Sasa

Mwekezaji wa Simba, Mo Dewji amekiri kwamba kwa sasa timu hiyo ni moja kati ya timu kubwa sana barani Afrika. Simba imeingia kwenye robo fainali ya michuano ya klabu bingwa Afrika ikishinda mechi nne, kusulu moja na kupoteza moja...
Tanzania yaporomoka viwango vya FIFA

Tanzania Yashuka Nafasi 2 Viwango Vya Fifa

Timu ya taifa ya Tanzania imeshuka nafasi mbili katika msimamo wa viwango vya FIFA baada ya kutolewa kwenye michuano ya kufuzu AFCON 2022. Msimamo mpya wa viwango vya FIFA uliotolewa jana unaonesha Tanzania pamoja na nchi zote za Afrika Mashariki...
Korona na AFCON

Korona Yageuka Sababu Za Kuonea Timu Za Ugenini Afrika

Wakati Dunia ikiwa inahangaika na kuzuia maambukizi ya Korona. Timu mbalimbali za Nyumbani zimekuwa zikitumia tatizo hilo kama chanzo kudhoofisha timu za ugenini. Masuala hayo yameendelea kuonekana yakishamiri sasa baaada ya mechi kati ya Sierra Leone dhidi ya Benin ya...
mwamuzi aanguka

Mwamuzi Azimia Uwanjani Mechi Ya Kufuzu AFCON 2022

Mwamuzi wa mchezo kati ya Ivory Coast na Ethiopia alikutana na kadhia ya kupoteza fahamu uwanjani zikiwa zimesalia dakika 10 kabla ya mchezo kuisha. Mwamuzi huyo raia wa Ghana Charles Bulu alionekana kutokuwa sawa kuanzia dakika ya 78 ambapo Ivory...
malawi vs uganda

Timu Ya Taifa Ya Malawi Yafuzu AFCON 2022 Baada Ya Miaka 10

Mbio za kuwania kufuzu michuano ya AFCON 2022 huko Cameroon ziliendelea jana na Malawi ikafanikiwa kufuzu kwa kuichapa Uganda the Cranes bao moja kwa sifuri. Hii ni mara ya tatu kwa Malawi kufuzu fainali za AFCON, walifanya hivyo mwaka 1984...

Kocha wa Bafana Bafana Molefi Ntseki Hatihati kupoteza kibarua chake

Afrika Kusini imeondolewa rasmi kwenye mashindano ya kuwania kufuzu AFCON 2022 huko Cameroon, huku ikimuacha kwenye hatari kubwa Kocha mkuu wa timu hiyo. Bafana Bafana walipokea kichapo cha magoli mawili kwa sifuri dhidi ya timu ya taifa ya Sudan...

MOST COMMENTED

Mendy Nje Miezi Saba

Beki wa kushoto wa klabu ya Manchester City Benjamin Mendy atakuwa nje kwa miezi saba baada ya kupata majeraha ya goti. Mendy alipata majeraha...

HOT NEWS