United: Andre Silva Kuwa Mbadala Wa Haaland?
Wakati Man United wakiendeleza jitihada zao za kuimarisha kikosi chao hasa eneo la ushambuliaji, jina la Andre Silva limeibuka kama moja ya malengo ya klabu hiyo.
Andre Silva amekuja kama moja ya malengo hayo baada ya usajili wa Erling Haaland...
Guardiola Amesema Erling Haaland Hazuiliki
Erling Haaland mara nyingi hazuiliki hii ni kwa mujibu wa kocha mkuu wa Manchester City Pep Guardiola, licha ya nyota huyo wa Borussia Dortmund kumaliza dakika 180 bila kufunga katika michuano ya Ligi ya Mabingwa.
City walilinda nafasi yao ya...
Sancho Nje Dhidi ya Man City Licha ya Kuanza Mazoezi
Jadon Sancho hatokuwa sehemu ya kikosi cha Borussia Dortmund kitakacho menyana na Manchester City kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa kutokana na kutokuwa fit vya kutosha.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa England alikosa mechi kadhaa mwezi uliopita kwa klabu na...
Mbappe: Furaha Yangu ni Kuona Tunashinda
Kylian Mbappe alikuwa katika hali ya furaha sana baada ya kufunga mabao mawili na kuisadia timu yake Paris Saint-Germain kupata ushindi mzuri wa 3-2 dhidi ya Bayern Munich kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa siku ya Jumatano.
Mshambuliaji huyo wa...
Watzke: Haaland Hauzwi Milango Ipo Wazi kwa Sancho
Borussia Dortmund wamepamga kumbakisha Erling Haaland msimu ujao lakini watasikiliza ofa ya kipekee itakayo kuja kwa Sancho amesema Mkurugenzi mkuu Watzke.
Mkuu wa klabu hiyo ya Bundesliga amezingatia uvumi unaowazunguka wachezaji wawili muhimu, akisisitiza watalenga kuendelea mbele.
Haaland amekua mchezaji lulu...
Erling Haaland Anukia Huko Camp Nou.
Erling Haaland huenda akatua katika dimba la Camp Nou baada ya wawakilishi wake kuanza mazungumzo na klabu ya Barcelona.
Siku ya Alhamisi asubuhi baba wa straika huyo ambaye pia ni mshauri wake Alf-Inge Haaland na wakala Mino Raiola walionekana katika...
Mount Shakani Kuokosa Mchezo Dhidi ya Poland
England inaweza kumkosa Mason Mount kwa mechi ya kufuzu Kombe la Dunia Jumatano dhidi ya Poland huko Wembley.
Mount hakuwepo kwenye mazoezi ya Jumanne, na kiungo wa Chelsea alikuwa akifanyiwa matibabu, ingawa hakuna maelezo ya jeraha yaliyoelezewa.
Ingewakilisha pigo kwa England,...
UCL: Lewandowski Kukosa Mechi Zote Dhidi ya PSG
Robert Lewandowski atakosa mechi zote za robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na Paris Saint-Germain baada ya Bayern Munich kuthibitisha kuwa atakuwa nje kwa mwezi mmoja kutokana na jeraha la goti.
Lewandowski alipata jeraha la goti lake la kulia...
Mino Raiola Atoa Maono Tetesi Za Usajili Wa Haaland
Wakala wa Mchezaji Erling Haaland, Mino Raiola anadai kwamba labda hakuwa makini sana kupelekea uhamisho wa Haaland kujiunga na Borussia Dortmund. Anahisi Mshambuliaji huyo anaweza kujiunga na timu yoyote anayeitaka.
Haaland amefanikiwa kujihakishia kuwa miongoni mwa washambuliaji bora duniani akiwa...
Muller Mbioni Kufuata Nyayo za Thiago Alcantara
Thomas Muller amekiri kwamba yupo tayari kufuata nyayo za Thiago Alcantara kwa kuondoka huko Allianz Arena na kusisitiza "sijazuiwa" na Bayern Munich.
Muller alianza kucheza soka la kulipwa huko Bayern Munich mwaka 2008 na tangu kipindi hicho ameisadia klabu kupata...