Nyumbani Football Carabao Cup

Carabao Cup

Pogba: Kucheza Manchester United Siyo Rahisi.

Pogba: Kucheza Manchester United Siyo Rahisi.

Paul Pogba anakubali kucheza kwa Manchester United "sio rahisi", lakini anaweka macho yake kwenye "mambo makubwa" baada ya kutupwa nnje kwenye nusu fainali ya Carabao Cup mikononi mwa wapinzani wao Manchester City. Baada ya kusimama katika hatua hiyo katika mashindano...
United

United Yatupwa Nje Carabao Cup.

Manchester United wameendelea walipoishia 2020, hii ni baada ya kutolewa kwenye nusu fainali ya Carabao Cup. United wanapoteza mchezo wa 4 mfululizo kwenye hatua ya nusu fainali wakiwa chini ya Ole Gunnar Solskjaer. Msimu uliopita, United walifungwa na Man City (Carabao...

Spurs Yatinga Fainali ya Carabao Cup.

Pengine huu ukawa na msimu mzuri kwa Tottenham Hotspurs wakiwa na Jose Mourinho. Ushindi dhidi ya Brentford umewavusha hatua ya nusu fainali. Spurs ametinga hatua ya fainali ya mashindano ya Carabao Cup baada ya kuwatungua Brentford magoli 2-0. Moussa Sissoko...

MOST COMMENTED

Sandro Kutua Madrid; Marcelo kwa Juve?

Moja ya klabu kubwa za Hispania, La Liga, Real Madrid ina malengo ya kumtoa mchezaji Marcelo kwa klabu ya soka ya Juventus huko Italia...

HOT NEWS