Chan

Chan

Chan, Morocco Yaweka Historia.

Mashindano ya kimataifa kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani barani Afrika, Chan. Yamemalizika wikiendi hii. Timu ya Taifa ya Morocco imeweka historia ya kuibuka kidedea mara mbili mfululizo kwenye mashindano hayo. Morocco waliingia kwenye mashindano haya kama mabingwa watetezi baada ya...
Chan

Chan 2021: Tanzania Yaanza na Kipigo.

Mashindao ya kimataifa kwa wachezaji wa ndani - Chan 2021, yameanza kutimua vumbi nchini Cameroon. Tanzania imeanza kwa kipigo dhidi ya Zambia. Taifa Stars wameshindwa kuitumia vizuri karata ya kwanza kwenye mashindano ya mwaka huu baada ya kuruhusu kufungwa 2-0...
Chan

Chan 2021: Tanzania Kuwanyamazisha Zambia

Kuelekea mashindano ya Chan 2021, Tanzania inaamini inauwezo wa kuwanyamazisha Zambia (Chipolopolo). Hii ni kwa mujibu wa Nadir Haroub "Cannavaro". Taifa Stars imepangwa kundi D kwenye mashindano ya Chan 2021 ambayo yatafanyika nchini Cameroon. Stars wataitupa karata ya kwanza siku...

MOST COMMENTED

Masharti ya Afya Lazima Ligi Kuu Bara

Tanzania imekuwa nchi ya kwanza ya Afrika Mashariki kuendeleza michuano ya Ligi Kuu. Michuano hiyo inaendelea kurindima kwenye viwanja mbali mbali Tanzania. Licha ya kuruhusu...
kocha hodgson

HODGSON ABAKI!

Messi ni Mchezaji Huru!

Messi ni Mchezaji Huru!

HOT NEWS