Nyumbani Football Copa del Rey

Copa del Rey

Neymar

Neymar Hauzwi hata kwa Bilioni 1 – Nasser

Wakala wa zamani wa Neymar anayejulikana kwa jina la Wagner Ribeiro ameweka wazi kuwa Neymar alitakiwa na Real Madrid 2019 na walikuwa tayari kumsajili kwa Euro Milioni 300 (Tsh Bilioni 828) akitokea PSG ya Ufaransa. Wagner anasema Rais wa PSG...
Bilbao

Bilbao Kucheza Fainali 2 Ndani ya Wiki 2.

Nchini Hispania kutachezwa fainali mbili za kombe 1 ndani ya wiki 2. Athletic Bilbao kuhusika kwenye fainali zote mbili. Hali hii ni matokeo ya kughairishwa kwa fainali ya Copa del Rey msimu wa 2019/20 ambapo Bilbao walipaswa kuchuana na Real...

Barcelona Yapindua Meza Kibabe Copa del Rey

Barcelona imepindua mabao ya 2-0 waliyofungwa katika mchezo wa kwanza dhidi ya Sevilla katika mashindano ya Copa del Rey na kushinda mabao 3-0 mchezo wa marudiano katika kukamilisha nusu fainali. Martin Braithwaite alifunga bao ambaloliliamua, kwa kichwa cha mbizi mapema...
Copa del Rey

Copa del Rey: Madrid Yatolewa na Alcoyano

Bingwa mtetezi wa La Liga - Real Madrid ameondolewa kwenye mashindano ya Copa del Rey na timu inayoshiriki ligi daraja la 3 - Alcoyano. Madrid alikuwa uwanjani akipambana na Alcoyano katika hatua ya 32 bora ya mashindano ya Copa del...
Diego Simeone

Diego Simeone Unaondoka Atletico??

Ni swali la kuuliza mara mbili kama ndicho alichokimaanisha Diego Simeone (El Cholo) au maana yake ni ipi hasa?? Baada ya kushuhudia timu yake ikitolewa kwenye mashindano ya Copa del Rey na timu ya Cornella inayocheza ligi daraja la 3,...

MOST COMMENTED

Oscar Tabarez- Kocha Mlemavu Anaewatumia Vizuri Suarez na Cavan

Uruguay ni wapambanaji haswa hawa jamaa kucheza nao unahitaji ujitoe mwili na akili , timu yao imekaa kipambanaji na sio kiufundi embu kumbuka kidogo...
chile colombia

Chile Hawana Utani!

nani-manchester-united-jose-mourinho_3473210

Luis Nani: Heko kwa Pogba!

HOT NEWS