Nyumbani Football Premier League

Premier League

Tumestahili Ushindi Dhidi ya Pep – Tuchel

Kocha Mkuu wa Chelsea, Thomas Tuchel amesema kuwa kikosi chake kilistahili ushindi dhidi ya Pep huku akitanabaisha kuwa Pep ni moja ya makocha bora Duniani. Chelsea jana walipata ushindi wa 1-0 katika nusu fainali ya kombe la FA dhidi ya...
Ninja

Ninja Mpira Ukikuacha, Usikubali Kuachika

Mabadiliko ya mpira wa kisasa yameleta ukatili kwenye dunia ya soka. Siku hizi kitu kimoja pekee hakikutoshi kuwa mchezaji. Siku hizi uimara wa mchezaji hautambuliki tena kwa kufanya majukumu yake ya msingi. Unashangaa? Ndiyo uimara wa mchezaji hautambuliki kwa kufanya...
Liverpool : Dembele Mbadala wa Mane Anfield.

Liverpool : Dembele Mbadala wa Mane Anfield.

  Klabu ya Liverpool wamejiandaa kutumia pesa nyingi kumsajili winga wa Barcelona Ousmane Dembele kama mbadala wa Sadio Mane katika majira yajayo ya kiangazi. Umekuwa msimu wa kukatisha tamaa kwa Mane, ambaye amefunga mabao 12 tu kwenye mashindano yote na matano...
Kane

Kane Chagua kuwa Shetani au Malaika

Kuna kitu kimoja Harry Kane kwa sasa anahitaji. Anahitaji kuamua anataka akumbukwe kama nani. Gwiji Edo Kumwembe alisema, anatakiwa kuchagua kuwa shetani au malaika. Miezi mitatu ijayo atakuwa na miaka 28. Kama anahitaji kuondoka Spurs, huu ndio muda sahihi, hana...
andre silva

United: Andre Silva Kuwa Mbadala Wa Haaland?

Wakati Man United wakiendeleza jitihada zao za kuimarisha kikosi chao hasa eneo la ushambuliaji, jina la Andre Silva limeibuka kama moja ya malengo ya klabu hiyo. Andre Silva amekuja kama moja ya malengo hayo baada ya usajili wa Erling Haaland...
SHEFFIELD

EPL: Sheffield OUT, Norwich City IN

Timu ya Sheffield United iliyokuwa ikishika mkia wa EPL, hatimaye wameshuka rasmi kwenda kwenye daraka la kwanza. Timu hiyo imekutwa na kadhia hiyo baada ya kufungwa goli 1-0 dhidi ya Wolves. Katika mchezo uliopigwa hapo jana, Sheffield walitawala mpira kwa...
Kessy

Nipo Tayari Kusaini Yanga – Kessy

Beki tegemezi wa pembeni ndani ya kikosi cha Mtibwa Sugar, Hassan Kessy amesema kuwa yupo tayari kusaini kwenye timu yoyote ambayo itahitaji saini yake hata wakiwa ni mabosi wake wa zamani, Yanga. “Mimi ni mchezaji na nipo tayari kucheza popote...
Pavol

Pavol Kutua Mamelodi Sundowns

Club ya Sepsi OSK ya Romania imeripotiwa kukubali ofa ya Euro 700,000 (Tsh Bilioni 1.9) kutoka Club ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini ili imuachie Pavol Safranko (26) ajiunge nao. Mshambuliaji huyo Pavol ambaye ni Raia wa Slovakia amefunga magoli...
Kante IN Christensen, Kovacic OUT, Nusu Fainali FA.

Kante IN Christensen, Kovacic OUT, Nusu Fainali FA.

  Meneja wa Chelsea, Thomas Tuchel amedhibitisha kukosekana kwa Mateo Kovacic na Andreas Christensen katika ya nusu fainali ya Kombe la FA huko Wembley dhidi ya Manchester City Leo jioni. Lakini tuchel amedhibitisha kupata huduma za kiungo wake tegemezi Ngolo Kante...
Liverpool

Stephen Whittle, Shabiki wa Liverpool Mhanga wa 97

Hii ni picha ya Stephen Whittle, shabiki wa Liverpool anayehesabiwa kama mhanga wa 97 wa maafa ya Hillsborough. Aprili 15, 1989, Liverpool ilipangwa kukutana na Nottingham Forest kwenye nusu fainali ya Kombe la FA, dimbani Hillsborough huko Sheffield. Ndugu yetu...

MOST COMMENTED

Fununu za Usajili

Klabu ya Manchester United bado ipo mbioni kumvizia nyota anayekipiga ndani ya klabu ya Leicester City, James Maddison ikiwa ni katika harakati zao za...

HOT NEWS