Nyumbani Football Europa League

Europa League

Arteta na Arsenal

Arteta Ni Kocha Sahihi Kwa Arsenal?

Arsenal waliambulia sare ya 1-1 dhidi ya salvia Prague katika mechi ya Europa jana usiku kufuatia goli la dakika za mwisho kabisa lililofungwa na Thomas Holes. Arsenal inashika nafasi ya 10 ikiwa na alama 42, ikifungwa mechi 12, kushinda 10...
Ballboy wa Ajax Akerwa na Calafiori Kupoteza Muda

Ballboy wa Ajax Akerwa na Calafiori Kupoteza Muda

Muokota mipira wa Ajax (Ballboy) alizimalizia hasira zake kwenye kifua cha mlinzi wa Roma Riccardo Calafiori baada ya beki kuyo kupoteza muda wakati Ajax ilipokuwa nyuma kwa 2-1 mchezo wa Europa League siku ya Alhamisi Beki huyo wa kushoto alikuwa...
Mwaka Mmoja wa Mabadiliko ya Uhondo wa Soka

Mwaka Mmoja wa Mabadiliko ya Uhondo wa Soka

Mwaka mmoja uliopita, kila kitu kilibadilika ulimwenguni. Kwa wengi wetu tutahisi kama maisha ya zamani hivi. Michezo, ni kitu cha kudumu na msisimko na burudani, ambacho kiliwekwa kando kwa jambo muhimu zaidi. Ingawa hakuna mtu aliyeijua wakati huo, Jumatatu Machi...
Maguire: Tushinde Taji Tuwafunge Mdomo "Haters"

Maguire: Tushinde Taji Tuwafunge Mdomo “Haters”

Harry Maguire anataka taji katika timu ya Manchester United kuwanyamazisha watu wanao ichukia klabu hioy ya Premier League. Ni miaka minne sasa imepita tangu Red Devils wanyanyue kombe wakiwa na Jose Mourinho mwaka 2016-17. Ole Gunnar Solskjaer amerithi hatamu za usimamizi,...

Bibiana Mwanamke wa Kwanza Kuchezesha Bundesliga

Leslie Feinberg alikuWa mwandishi mkubwa sana nchini Marekani, licha ya kuwa na maumbile ya kike lakini alipenda sana kuwa mwanaume, hivyo ikambidi aishi katika desturi za kiume (Tom boy). Binti huyu aliandika article nyingi sana ikiwemo ya kuhusu Gender...

Thomas N’Kono na Mkono wa Gianluigi Buffon

Juni 8, 1990 kwenye dimba la San Sirro mjini Milan Italia, dunia ilishuhudia moja ya maajabu makubwa ya soka yakitokea. Hiyo ilikuwa siku ya ufunguzi wa Kombe la Dunia ambapo mabingwa watetezi, Argentina, walikutana na Cameroon. Argentina wakiwa na mtu...

Messi Anavyotukumbusha Mungu Yupo

Nimesikia maajabu mengi sana duniani ikiwemo mchanga unaotembea katika hifadhi ya taifa Ngorongoro. Nimesikia juu ya miti inayotembea ndani ya msitu mkubwa wa Amazon. Unajua bado siamini kama ipo chemchem inayotoa maji ya moto chini ya ardhi? Hii ni...

Messi Akiri Kutaka Kuondoka Kumemgharimu Msimu Huu

Mshambuliaji wa Barcelona na timu ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi, amesema jaribio lake la kutaka kuondoka klabuni hapo ambalo liligonga mwamba katika dirisha la uhamisho lililopita liliathiri sana mchezo wake msimu huu. Mwezi Agosti mwaka huu mshambuliaji huyo nyota...

Siku ya Mwisho ya Franseco Totti Pale Stadio Olimpico

Ni usiku wa May 28 2017, muamuzi ametoka tu kupuliza kipenga chake kuumaliza mchezo wa Roma dhidi ya Genoa. Ushindi wa 3-2 wala haujawapa furaha mashabiki wa Roma. Leo shujaa wao Franseco Totti alikuwa anacheza kwa mara ya mwisho. Mzee...

Kisa Kipigo S.A.D Villaverde Yatokwa na Povu

Klabu ya Real Madrid imeingia kwenye lawama dhidi klabu ya S.A.D Villaverde kufuatia timu yao ya vijana kuwafunga wapinzani wao mabao 31-0. Timu ya vijana ya chini ya miaka 9 ya SAD Villaverde ilicheza mechi ya ligi ya vijana chini...

MOST COMMENTED

Miujiza ya Morrison katika Maisha Halisi

Kama ningalifuata usemi wa "Ya Kaisari Muachie Kaisari" basi ningebaki na donda lenye kudumisha deni la Roho yangu, na kama ningaliweza basi ningeenda pale...

HOT NEWS